Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Mkuu nahitaji uzoefu wa Morogoro, PM me if u dont mind
Kwenye kilimo?doh...unanirudisha Ninawi😅!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nahitaji uzoefu wa Morogoro, PM me if u dont mind
If some people can do it, its no longer an experiment 😄. Na ulishafanya experiment ukapata mafanikio sehemu sehemu, Ninawi sio mbali 😄Kwenye kilimo?doh...unanirudisha Ninawi😅!
Baada ya kusoma ule uzi "Tulioingia kwenye kilimo tukaangukia pua tukutane hapa " Wengi wanaeleza jinsi walivyofeli kwenye kilimo kwa sababu ya changamoto mbalimbali.
Comments nyingi ni za kuvunja moyo. Hivyo naomba mliofanikiwa katika kilimo mje hapa mtueleze mlifanikiwaje, mbinu gani mlitumia na kiasi gani mliwekeza.
Karibuni.
Kuna member mmoja huko juu kasema ukweli mtupu, wanaofanikiwa kwenye kilimo hawapo huku online. Wapo field! Kilimo kinalipa, vitu vigumu kama kilimo vinalipa sana/zaidi ya vitu vingi tu vyepesi vyepesi vya nje ya kilimoUkiona hatokezi ata mmoja akaeleza mafanikio yake ujue akuna aliyewahi kufanikiwa, kiufupi mm ni mkulima na mtumishi pia lkn nataka nikueleze kilimo tz hakilipi, niliwahi kulima pamba ekari saba nikaambulia kilo 1000 saw a na hasara ukizidisha na bei 1100@kilo, uko nikatoka nikalima dengu zote zikaliwa na panya , nikalima mahindi sikuvuna ata kidogo jua liligonga kipindi yanachanua, nikalima kalanga nikaambulia kidogo pamoja na Alizeti angalau lkn sio sana, mwisho nikaona kheri nilime nyanya kwa kitalu Nyumba uko ndo napumulia japo kuna gharama za awali za uwekezaji hapa ukicheza na majira na soko kwa kitalu nyumba unapiga notI wazee .
Kuna member mmoja huko juu kasema ukweli mtupu, wanaofanikiwa kwenye kilimo hawapo huku online. Wapo field! Kilimo kinalipa, vitu vigumu kama kilimo vinalipa sana/zaidi ya vitu vingi tu vyepesi vyepesi vya nje ya kilimo
Hao wote ninawafahamu, maneno yangu bado sibadilishi. Wakulima halisi na wakubwa wapo nje ya mitandao ya kijamii hii. Wako mashambani huko na maofisini, hawategemei wateja wa mitandaoni tuAksvin farm mdada, kuna malembo farm, kuna youngworldfeeders na wengineo wapo mitandaoni muda wote.
Kwenye mitandao wengi ni madalali wana maneno matamu unaweza hisi ni wakulima hasaHao wote ninawafahamu, maneno yangu bado sibadilishi. Wakulima halisi na wakubwa wapo nje ya mitandao ya kijamii hii. Wako mashambani huko na maofisini, hawategemei wateja wa mitandaoni tu
Dah acha tu, nimewatembelea wengi nakutana na hali tofauti sana na wanavyojinadi mitandaoniKwenye mitandao wengi ni madalali wana maneno matamu unaweza hisi ni wakulima hasa
Mkuu kila mtu akilima hivyo unavyosema si mambo yale yale ya kukosa soko? Maana kutakuwa na mafuriko ya hayo mazao sokoni!Limeni mazao ya viungo lima mdalasini ,vitunguu swaumu ,iriki ,pilipili etc havizingui bei wala soko
kulima ni biashara unapolima ni kama unabet nenda lima mahindi hutoboi ,ila ukitafuta zao la ajabu na kufanya research kwa siri ndo kutoboaMkuu kila mtu akilima hivyo unavyosema si mambo yale yale ya kukosa soko? Maana kutakuwa na mafuriko ya hayo mazao sokoni!
Masanja anahangaika kuuza mchele wake kila siku.
Kilimo kisikie tu wanaofanikiwa ni wanunuzi wa mazao ya kilimo ila si wakulima
Masanja anahangaika kuuza mchele wake kila siku.
Kilimo kisikie tu wanaofanikiwa ni wanunuzi wa mazao ya kilimo ila si wakulima
Kitalu nyumba kilikugharimu kiasi gani mkuu, na ni maeneo gani unalimaUkiona hatokezi ata mmoja akaeleza mafanikio yake ujue akuna aliyewahi kufanikiwa, kiufupi mm ni mkulima na mtumishi pia lkn nataka nikueleze kilimo tz hakilipi, niliwahi kulima pamba ekari saba nikaambulia kilo 1000 saw a na hasara ukizidisha na bei 1100@kilo, uko nikatoka nikalima dengu zote zikaliwa na panya , nikalima mahindi sikuvuna ata kidogo jua liligonga kipindi yanachanua, nikalima kalanga nikaambulia kidogo pamoja na Alizeti angalau lkn sio sana, mwisho nikaona kheri nilime nyanya kwa kitalu Nyumba uko ndo napumulia japo kuna gharama za awali za uwekezaji hapa ukicheza na majira na soko kwa kitalu nyumba unapiga notI wazee .
Hao ni Experts tuu wa Kilimo and wanatoa Huduma za Kilimo ,Kuuza Mbegu & Dawa, ushauri, Kukufanyia utafiti nk nkAksvin farm mdada, kuna malembo farm, kuna youngworldfeeders na wengineo wapo mitandaoni muda wote.
Upo sahihi mkuu watu wengi tuliopo mitandaoni ni wale tunaolima kwa simu tukiwa club mjini hivo hatuwez ona mafanikio zaid ya hasara.Nenda mashamban kuna watu wanafanya vilimo vikubwa na wana mafanikio makubwa ila huku kwenye mtandao hautawaona ww endelea kusubiri ushuhuda JF.Hao wote ninawafahamu, maneno yangu bado sibadilishi. Wakulima halisi na wakubwa wapo nje ya mitandao ya kijamii hii. Wako mashambani huko na maofisini, hawategemei wateja wa mitandaoni tu