Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

Fahamu kuhusu kilimo bora cha Hiliki

mkuu mashamba ya iriki wanakodisha,je inachukua muda gani mpaka uvune
Kupanda,kukua hadi kuvuna inachukua miaka 2
Kuvuna ni Mara 2 mpk 3 kwa mwaka
Tatizo ni kupata eneo....
Huko watu wa huko walishapandaga muda

Ova
 
Kupanda,kukua hadi kuvuna inachukua miaka 2
Kuvuna ni Mara 2 mpk 3 kwa mwaka
Tatizo ni kupata eneo....
Huko watu wa huko walishapandaga muda

Ova
ila kununua kwa wakulima naweza kupata wauzaji mkuu
 
Nilifanyaga research ya iliki siyo kulima ila ni wapi zinapatikana kwa wingi kwa bahati nilienda sehemu za lutindi,tanga huko nlizunguka vijiji kama 5 kieti,tamota,masangi,nguru,bungu kote huko nlikutana n'a zao la iliki na huko kg1 wanauza 14000 mpaka 16000 n'a kwa dar huku wanauza 25000 mpaka 26000 kwa kg wakomoro wananuua juu kidogo ya hapo......soon ntarudi tena huko kwa ajili ya kununua na kuwa supply watu wangu

Morogoro pia ipo sehemu fulani fulani ila iliki ya tanga wanasema ni the best hata iliki ya india haifikii

Soon nabadilisha tena gia angani mtamuona mrangi kwenye biashara ya mazao maana jiwe lishabuma mh kabana
Ila kwa wabishi kama sisi hata ukibana huku sisi tunapiga kule

OVA

Tuwasilianeee Kiongozi mim mwenyew nataka anza fanya hyo biashara Mkuu
 
Kuna Bohora pale Barabara ya nne anauza viungo vyote kutoka Mombasa. Yaani Karafuu na Iliki vinauzwa Mombasa alafu vinarudi Tanga.
 
Tuwasilianeee Kiongozi mim mwenyew nataka anza fanya hyo biashara Mkuu
Watu washaanza kuvuna sahvi
Iliki mbichi ndy iko kwa wingi
Ila ni vizuri muende wenyewe huko
Mkajionee na kuzoea mazingira!

Ova
 
Watu washaanza kuvuna sahvi
Iliki mbichi ndy iko kwa wingi
Ila ni vizuri muende wenyewe huko
Mkajionee na kuzoea mazingira!

Ova

Haina noma Mkuu.. Mim nipe Direction tu namna ya kumpata hata Mtu mmoja km mwenyeji halafu nkuonyeshe watu tunavyopambana kutafuta maishaa
 
Haina noma Mkuu.. Mim nipe Direction tu namna ya kumpata hata Mtu mmoja km mwenyeji halafu nkuonyeshe watu tunavyopambana kutafuta maishaa
Nenda Magoroto, Misalai Shebomeza Amani huko. Ukiwa na pesa unatoka Muheza asubuhi unafika huko saa saba. Hao wauzaji watakupa sehemu ya kulala
 
Haina noma Mkuu.. Mim nipe Direction tu namna ya kumpata hata Mtu mmoja km mwenyeji halafu nkuonyeshe watu tunavyopambana kutafuta maishaa
Direction dar-tanga unashuka pale msambiazi....Kabla mombo
Kuna mlima ule kama unaenda lutindi mission ....ila Unapita hapo
Ntakupa mtu makini tu
Huko kuna viijiji vingi ni kuzungukia tu

Ova
 
unaniita mshamba !!?,je, umeanza matusi?!🤔🤔
Aaaah... inamaana mshamba imekuuma sasa ww jee ulivyoniambia nimetumwa na mganga wangu inamaana mm mshirikina sasa lipi tusi kubwa hapo mkuu mshambaa au mshirikina...😆😆😆
 
Aaaah... inamaana mshamba imekuuma sasa ww jee ulivyoniambia nimetumwa na mganga wangu inamaana mm mshirikina sasa lipi tusi kubwa hapo mkuu mshambaa au mshirikina...😆😆😆

Kwani hiliki haiwezekani kutumika kama dawa??, hivi nikisema mganga kanituma tangawizi iliyosagwa, je hapo mimi ni mshirikina?!!😁😁
 
Kwani hiliki haiwezekani kutumika kama dawa??, hivi nikisema mganga kanituma tangawizi iliyosagwa, je hapo mimi ni mshirikina?!!😁😁
Hahahahahahaha ku deal nq mganga moja kwa moja ni ushirikina mkuu
 
Ww unamjua mganga gani???

Mganga ni lugha ya kiswahili, kiingereza anaitwa Doctor, au ukitohoa lugha ya kiingereza ataitwa Daktari.

Na kuna physician, Gynaecologist,Radiologist nk
 
Back
Top Bottom