Nilifanyaga research ya iliki siyo kulima ila ni wapi zinapatikana kwa wingi kwa bahati nilienda sehemu za lutindi,tanga huko nlizunguka vijiji kama 5 kieti,tamota,masangi,nguru,bungu kote huko nlikutana n'a zao la iliki na huko kg1 wanauza 14000 mpaka 16000 n'a kwa dar huku wanauza 25000 mpaka 26000 kwa kg wakomoro wananuua juu kidogo ya hapo......soon ntarudi tena huko kwa ajili ya kununua na kuwa supply watu wangu
Morogoro pia ipo sehemu fulani fulani ila iliki ya tanga wanasema ni the best hata iliki ya india haifikii
Soon nabadilisha tena gia angani mtamuona mrangi kwenye biashara ya mazao maana jiwe lishabuma mh kabana
Ila kwa wabishi kama sisi hata ukibana huku sisi tunapiga kule
OVA