Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

hyo biashara usiitegeme hyo tu labda uwe. na duka alafu hyo biashara ya mtandao iwe ya ziada..lakn ukitegemea tu hyo biashara hawalipi vizur kama wenzao voda.. unafanya mihamala ming lakn kamishen ndogo sana..mm ilikua aizidi elf 50 kwa tgo pesa bora mpesa
 
Bidii yako ndio faida yako. Unapouza zaidi na kuwa na wateja wengi zaidi ndo faidi inakuwa kubwa zaidi. Tahadhari lakini multiple deposit na direct deposit zitakunyima faida kubwa.

Nimekuwa wakala wa kujitegemea chini ya Vodacom na hadi sasa nina matawi 11 ila kwa sasa huo uwakala wa kujitegemea haupatikani tena labda ujiunge chini ya wakala mkuu ambae atakula 20% ya pato lako.

Kwa maelezo na ushauri zaidi ni pm.
Sidhan kama kuna ukweli
 
Huenda Maelezo yenu wote ni mazuri,lakini kwa kifupi tusiwadanhanye watu ,m PESA ukizungusha kiasi cha shilingi 3mil,huwezi pata laki kwa mwezi, kwa mfano mtu akitoa shilling elfu 10 unapata commission ya 60 tena kabla ya kodi ukikatwa kodi unabaki na km na shilling 35 shillings, kwa muamala wa elfu 10.so Fanya 35 ×10,000×30000000 kwa mwezi
Story za vijiweni..
 
Hii biashara cha msingi ni location nzuri,ambayo ina movement ya watu, ukiwa na uwezo wa kuhudumia watu si chini ya 50 kwa siku una uhakika wa kupata commision kwa line moja,mfano tigo si chini ya 800000. Upande wa luku nayo ni hivi hivo,ukifanya miamala mingi ya kuuza units mwisho wa mwezi commision inakuwa kubwa
Upo sahihi..
 
Mi naisi wengi tulikua na ii mipango nilikua nafikiri those mawakala wanapata profit ya kutosha ndomana kila hatua mbili wakala kumbeeeee loooooh
Wanaifanya wengi koz inalipa huo ndio ukweli, ukiingia kichwa ndio utafeli kama awa wanaokuongopea hapa.
 
Tafta till kubwa sajil line yako kwenyewe utapata hela nzuri. Inauzwa laki saba. Faida yako itakuwa ni yako na kampun tu. Izo wanazouza laki na 70 unafaidika wewe, aluekuuzia line na kampun ya vodacom. Ukinunua ya laki saba unapewa main line na till tatu. Izo till tatu ndo utaziuza kwa watu kwa laki sabin then unatumia iyo main then unakula faida kote kote
Akuna kitu kama icho acha kuwadanganya watu.
 
Kupata line ya mpesa inatakiwa vitu HV
1.leseni ya biashara
2.tin naomba
3.kopi ya kitambulisho
Kuipata line yaweza kukuchukua miezi minne au zaid au ukiamua unanunua kwa mtu unafanyia kazi hakuna tatizo
 
l
Inawezekana sema mm nimeshasahau ni siku nyingi sana nilikuwa nanunua kupitia mpesa, nakushahuri tafuta machine za selcom wapo poa sana na wanatoa commision nzuri.
oh ngoja nitafute ya mobistoc hawa wako na huduma za fasta mambo ya kuhangaika kusaka salio staki n ways asante
 
Back
Top Bottom