Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oyaaaa mbona comments zako zote za kama unawakatisha watu tamaa? Na pia naona roho mbaya ndani yake...hutaki watu wafanikiwe?? Kuna biashars ambayo haina risk?? Waliofanikiwa wote ni risk takers katika biashara. Naona michango yako yote ni negative kana kwamba wewe umefanya hii kaz miaka 50. Acha roho mbayaAkuna kitu kama icho acha kuwadanganya watu.
Ivi umenisoma vizuri mkuu?? unaweza kunionyesha ni comment ipi nimepondea hii bizness??Oyaaaa mbona comments zako zote za kama unawakatisha watu tamaa? Na pia naona roho mbaya ndani yake...hutaki watu wafanikiwe?? Kuna biashars ambayo haina risk?? Waliofanikiwa wote ni risk takers katika biashara. Naona michango yako yote ni negative kana kwamba wewe umefanya hii kaz miaka 50. Acha roho mbaya
Lini ninazo zote sh 550000Hizo line zinapatikana kwa bei gani?
Watu wa aina hiyo wengi sana mtaani...wanabisha hata mambo wasiyoyajua!!Oyaaaa mbona comments zako zote za kama unawakatisha watu tamaa? Na pia naona roho mbaya ndani yake...hutaki watu wafanikiwe?? Kuna biashars ambayo haina risk?? Waliofanikiwa wote ni risk takers katika biashara. Naona michango yako yote ni negative kana kwamba wewe umefanya hii kaz miaka 50. Acha roho mbaya
Till ya m.pesa,mtaji inategemea na Wateja, ukiwa vzr angalau 1m unaweza Fanya kazi inayoeleweka, uwe unaweka float 5k na 5cash, mzunguko ikiwa ni kama watu 30 kwa siku, minimum camision kwa mwezi ni 3k,
TILL YA M.PESA NINAYO KAMA UTAKUA UNAHITAJI NICHEK, BEI MAELEWANO!
Lak 5 inatosha, mi nilpokia naanza nilianzaga na 3k tu, nilikua naongeza kulingana na demand, hafu siku rahis sana kuna kubadilishana float na mawakala wenzako,
Till ni ile laini ya uwakala ya kufanyia kazi au miamala!
kwa hiyo kwnye huo mtaji wako wa laki tatu ni kwamba umeshajumlisha na gharama za hiyo line au
Mm pia napiga plan nifanye hiyo issue,ila nataka kununua laini ya uwakala kwa mtu,je haiwezi kuniletea shida wakati wa shughuli zangu?
poa,nimekuelewa mkuuSio mbaya, cha KUFANYA akupe detail zote za hiyo laini mpaka na namba ya Wakala mkuu ili ukipata tatzo iwe simple kutatua! Au kama unataka ya jina lako tuwasiliane, ila uwe na tin no,lessen ya biashara na kitamburisho vinavyoebdana kwa majina yako yote ktk hzo detail zote!
kama unatini no na leseni na kitambulisho unampa aliye kuuzia atambatanisha na zake atapeleka kwa wakala mkuu .Wakala mkuu atapeleka vodacom baada mda itasoma jina lakoNaomba utaratibu wa kubadili jina la line kuwa la kwako ukinunua kwa mtu
Nimejifunza kitu kutoka kwako and yu've made my day. Ufafanuzi wako umekuwa darasa zuri sana na utatoa msaada kwa wengi. Endelea kuwa na moyo huo na usichoke kutoa ushauri pale utakapokuwa unahitajika tena.Katika huduma zote hizo ulizotaja za e-money ambayo imesambaa sana ni Mpesa, ikifuatiwa na Tigo pesa then Airtel Money. Hivo unapoanzisha biashara yako hakikisha kua Mtaji mkubwa zaidi uko kwenye Mpesa, then Kiasi kwenye Tgo Pesa then Airtel.
Ukitaka kufanya hizo biashara za e-money vitu vya kuzingatia ni haya:-
Mtaji wa kutosha
Huo mtaji unakua in form of Float (pesa kwenye account) na Cash (Pesa Mkononi). Naamini unaelewa ni biashara ambayo inategemea entirely on Money. Hakikisha una mtaji wa kutosha. Katika hii biashara inategemea ukubwa wa mtaji wako wewe upo vipi. Lazima uwe na salio (Float) kubwa saana katika account yako ya biashara. Kwamba mtu akihitaji kiasi chochote kile toka One Million to One thousand wewe uwe na uwezo wa kutoa. Na pia kuhakikisha una pesa mkononi ya kutosha. Ukiwa na mtaji wa kutosha utakua na gurantee ya wateja wengi wapya na wakujirudia. Hakuna kitu kinaboa kwa mteja kama kutaka pesa alafu anaingia bada la pesa na kuambiwa hana ajaribu mahala pengine. Kumbuka the more transactions wafanya the more profit (kupitia monthly commission) unapata.
Mahala pa Biashara.
Hakikisha ni mahala ambapo pako busy hasa kibiashara... Mfano Mwenge, Ubungo, Magomeni na the Like. Sehemu ambapo shuguli mbali mbali zaendeshwa... Hata humu kwenye ma stand. Kama una uwezo mkubwa weka Ofisi yako ya Kisasa na ndogo tu, haiitaja mahala pa kubwa sana. Hakikisha kuna usalama wa kutosha; kwamba sio rahisi kuvamiwa na wezi ama majambazi (sababu wengi hua na imani kuna pesa nyingi na aweza komba).
Mhudumu
Ni huduma ambayo inahitaji umakini wa hali ya juu sana. Haiitaji kabia mhudumu Mzembe. Take note ni biashara ambayo inaendeshwa kwa kutegemea number za simu. Iwapo mhudumu wako atakosea kutuma pesa za mteja wake kwa number nyingine (labda kwa kukosea digit moja tu); ana option ya kupiga customer care ku cancel hio transaction. However inaweza tokea kua yule ambae kahamishiwa pesa bahati mbaya yupo really sharp na akahamisha ile pesa ama kuitoa. Ikitokea hivo ujue hio pesa ishapotea no matter ni shilingi ngapi.
Faida
Faida inategemea Umakini wa Operator wako kutokuingiza loss, Frequency ya transaction zako kama nyingi; the more you operate the more you get, Ukubwa wa mtaji wako. Yaani ujiwekee ni dhambi mteja akose huduma katika office yako.
Nakutakia kila la kheri Majogajo, kama una swali la zaida, weka hapa chini nitapita nikipata mda.
Pamoja Saana.
watazania 2ache kukatishana tamaaSidhani kama hapo ni kujiajiri. Nionavyo mimi ni kwamba umeajiriwa na Zain (ZAP), Vodafone (M-PESA) na Tigo (TIGO-PESA)