Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

hyo biashara usiitegeme hyo tu labda uwe. na duka alafu hyo biashara ya mtandao iwe ya ziada..lakn ukitegemea tu hyo biashara hawalipi vizur kama wenzao voda.. unafanya mihamala ming lakn kamishen ndogo sana..mm ilikua aizidi elf 50 kwa tgo pesa bora mpesa
 
Sidhan kama kuna ukweli
 
Story za vijiweni..
 
Upo sahihi..
 
Mi naisi wengi tulikua na ii mipango nilikua nafikiri those mawakala wanapata profit ya kutosha ndomana kila hatua mbili wakala kumbeeeee loooooh
Wanaifanya wengi koz inalipa huo ndio ukweli, ukiingia kichwa ndio utafeli kama awa wanaokuongopea hapa.
 
Akuna kitu kama icho acha kuwadanganya watu.
 
Kupata line ya mpesa inatakiwa vitu HV
1.leseni ya biashara
2.tin naomba
3.kopi ya kitambulisho
Kuipata line yaweza kukuchukua miezi minne au zaid au ukiamua unanunua kwa mtu unafanyia kazi hakuna tatizo
 
l
Inawezekana sema mm nimeshasahau ni siku nyingi sana nilikuwa nanunua kupitia mpesa, nakushahuri tafuta machine za selcom wapo poa sana na wanatoa commision nzuri.
oh ngoja nitafute ya mobistoc hawa wako na huduma za fasta mambo ya kuhangaika kusaka salio staki n ways asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…