Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Akuna kitu kama icho acha kuwadanganya watu.
Oyaaaa mbona comments zako zote za kama unawakatisha watu tamaa? Na pia naona roho mbaya ndani yake...hutaki watu wafanikiwe?? Kuna biashars ambayo haina risk?? Waliofanikiwa wote ni risk takers katika biashara. Naona michango yako yote ni negative kana kwamba wewe umefanya hii kaz miaka 50. Acha roho mbaya
 
Mtu akikukatisha tamaa kwenye maisha kaa nae mbalj sana
 
Ivi umenisoma vizuri mkuu?? unaweza kunionyesha ni comment ipi nimepondea hii bizness??
 
Watu wa aina hiyo wengi sana mtaani...wanabisha hata mambo wasiyoyajua!!
 
Jaman wadau naombeni msaada ninataka kuanza kufanya ishu ya mpesa yaani kuwa wakala je process ni zipi na pia mtaji,,na faida yake ,,location sio shida maana hapa pana demand kubwa ya hiyo huduma
shukran
 
Till ya m.pesa,mtaji inategemea na Wateja, ukiwa vzr angalau 1m unaweza Fanya kazi inayoeleweka, uwe unaweka float 5k na 5cash, mzunguko ikiwa ni kama watu 30 kwa siku, minimum camision kwa mwezi ni 3k,

TILL YA M.PESA NINAYO KAMA UTAKUA UNAHITAJI NICHEK, BEI MAELEWANO!
 

je 50k (laki tano) kama mtaji iko vipi apo? ujanijuza kuusu hiyo till ya mpesa ni nn
 
Lak 5 inatosha, mi nilpokia naanza nilianzaga na 3k tu, nilikua naongeza kulingana na demand, hafu siku rahis sana kuna kubadilishana float na mawakala wenzako,

Till ni ile laini ya uwakala ya kufanyia kazi au miamala!
 
Lak 5 inatosha, mi nilpokia naanza nilianzaga na 3k tu, nilikua naongeza kulingana na demand, hafu siku rahis sana kuna kubadilishana float na mawakala wenzako,

Till ni ile laini ya uwakala ya kufanyia kazi au miamala!

kwa hiyo kwnye huo mtaji wako wa laki tatu ni kwamba umeshajumlisha na gharama za hiyo line au
 
Mm pia napiga plan nifanye hiyo issue,ila nataka kununua laini ya uwakala kwa mtu,je haiwezi kuniletea shida wakati wa shughuli zangu?
 
Mm pia napiga plan nifanye hiyo issue,ila nataka kununua laini ya uwakala kwa mtu,je haiwezi kuniletea shida wakati wa shughuli zangu?

Sio mbaya, cha KUFANYA akupe detail zote za hiyo laini mpaka na namba ya Wakala mkuu ili ukipata tatzo iwe simple kutatua! Au kama unataka ya jina lako tuwasiliane, ila uwe na tin no,lessen ya biashara na kitamburisho vinavyoebdana kwa majina yako yote ktk hzo detail zote!
 
poa,nimekuelewa mkuu
 
Naomba utaratibu wa kubadili jina la line kuwa la kwako ukinunua kwa mtu
kama unatini no na leseni na kitambulisho unampa aliye kuuzia atambatanisha na zake atapeleka kwa wakala mkuu .Wakala mkuu atapeleka vodacom baada mda itasoma jina lako
 
Nimejifunza kitu kutoka kwako and yu've made my day. Ufafanuzi wako umekuwa darasa zuri sana na utatoa msaada kwa wengi. Endelea kuwa na moyo huo na usichoke kutoa ushauri pale utakapokuwa unahitajika tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…