Hata ndo maswali yanayohtajika JF: Nkupe kidogo, ukiwa na pesa yako cash na float, utawahudumia Wateja wako kuqeka au kutoa fedha. Kampuni ya voda itakupa kamisheni kulingana na idadi ya Wateja unawaohudumia na kias cha fedha. Lkn mtsji wako hauchukuliwi hata sent. Fedha yako itacheza ama kwenye simu ya wakala ama mkinoni mwa wakala. Iwapo fedha ya mkononi itakwisha manake iko kwenye simu na unaweza omba Benji wakupe cash, hali kadhalika ikiisha float unaweza omba benki wakuwekee kwa kuwapa cash. Nasubr kama una swali zaid. Maana pande hizi nimebobea.