Hebu twende taratibu! Ina maana siku hizi ukichukua kwa Super Dealer hautakiwi kuweka float?!Ulitaka za bure zina chukua miezi kadhaa kupata lakini ukitaka faster ufanye kazi ndiyo hivyo lazima ununue kwa mtu au kwa super dealers.
Manake for what it was, ukienda kwa Super Dealer LAZIMA ufuate taratibu na wao lazima wakuambie uweke float na ni pesa ndefu tu!! Btw, hata huko unakoweza kupata bure, ina maana hautakiwi ku-deposit Float?!
Sehemu pekee ambayo huwezi kuambiwa uweke Float ni endapo umenunua line kwa mtu!!