Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Kama unataka kufanya hii biashara tafuta mtandao mwingine voda ni wezi sana..watakuibia kwa kila namna..watakupigia simu ili wakuibie..watakufuata hadi kibandani kwako wakurushie muamala fake...
Voda ni wezi wezi wezi wezi wezi wezi ×20000...
Mzee usha wahi fanya hii biashara weww maana povu libavyo kutoka

Hebu tuwe wakwel mwambie mtu ukweli sio kukatisha tamaa

Japo commision siku hiz zimepungua . Lakin ukikaa site zenye mzunguko wa pesa utapata chechi tu ya kawaida..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukwel hii biashara kama utakuwa na mzunguko mzur yaan ukifanya miamala mingi hasa ile ya wateja kutoa pesa inalipa sana: mfano mimi mwez wa 7 vodacom wamenipa commission ya zaid ya laki 5 na Tigo nimepata 270,000 hapo utasemaje biashara kichaa?
Watu wanasema tu hawana ushahid japo hapa kubwa ni umakin wa mhuduma

OK naona Ww utkua unajuwa vzr juu y hii mambo mkuu..nna mil moj cash nnko mjin heb funguka mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina till moj mkuu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasikutishe piga kaz utaniambia,kikubwa sehem iwe na miamala mingi pia umakini usikosee kutuma pesa pia utapeli jihadhar unaweza pata 400000 kwa mwez as commission kwa hiyo pesa uliokuwanayo. Kikubwa hapa ni mzunguko uwe mkubwa.
Sio anakuja mteja ooooh sina cash mara nmeishiwa float,huwez pata faida kubwa. Hapa lazima mteja ahudumiwe wakuweka aweke na wakutoa atoe

Pamoja sana mkuu..ngoja nkomae tuu

Sent from my Z3 using JamiiForums mobile app
 
Ukwel hii biashara kama utakuwa na mzunguko mzur yaan ukifanya miamala mingi hasa ile ya wateja kutoa pesa inalipa sana: mfano mimi mwez wa 7 vodacom wamenipa commission ya zaid ya laki 5 na Tigo nimepata 270,000 hapo utasemaje biashara kichaa?
Watu wanasema tu hawana ushahid japo hapa kubwa ni umakin wa mhuduma

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa na mtaji mkubwa plus mzunguko uko vizuri. Japo watu wanasema voda ni wezi ila kwenye kampuni zote voda ndio wanalipa vizuri maana nafanya zote
 
Na hako ka commission lazima wamkate VAT... Watumishi wa voda ni wezi kuliko wa mitandao mingine, voda customer care ni majambazi kuzidi hata Acacia.
Akumbuke asiingie hiyo biashara endapo ana matarajio makubwa...anaweza akawa anazungusha laki 8... Lakini kwa mwezi mzima akaambulia elfu 20 kama commission yake...kwahiyo azingatie sana aisee!. Bora awekeze kwenye hisa tu

Kwanza
Mfanyakazi atakuoiga kama siyo wewe mwenyewe unayehamishia wateja pesa. Wafanyakazi wanasajili line wanakuwa wanatoa hudumu wewe line yako haifanyi kazi kabisa.

Pili,
Makapuni ya Simu wanakuibia ile Commission, hawakupi kama ukivyotakiwa kupewa.

Tatu,
Unakaribisha panya road na mbwa mwitu maana, wanasasambua sana humo kwenye vibanda hasa huku dar nasikia ni kawaida.

Nne,

Faida yake nasikia siyo kubwa kiviile, yaani usitarajie miujiza ya kipato kupitia hiyo biashara faida yake siyo kubwa na hasa ukirejea namba hizo juu zote zinasababisha faida kuwa ndogo.

Tano,
Kama una pesa ya mawazo na hesabu Kali. Usitarajie faida ndani ya siku au wiki ni uwekezaji unaohitaji mtu mvumilivu na aliye na vyanzo vinginevyo vya mapato.

Wengine watakuongezea mambo mengine maana, nami hayo yote nimeyasoma umu humu JF kuhusu uwekezaji.

Nikutakie uwekezaji mwema.
Kama mlishindwa kufanya biashara ni nyie msiambukize wengine
watu kama nyie kule jamaica tunawaita mababylon

What goes around always comes around
 
Kama mlishindwa kufanya biashara ni nyie msiambukize wengine
watu kama nyie kule jamaica tunawaita mababylon

What goes around always comes around
Sio tunataka asiingie, bali tunampa changamoto zilizopo huko. Ukumbuke kila biashara inachangamoto hivyo akiomba msaada inabidi asaidiwe kueleweshwa pande za faida na za hasara na mazingira yake kwa ujumla...maamuzi anayo yeye mwenyewe...ushauri tunampa bure, angeniomba hela mm binafsi nisingemsaidia ila ushauri hata usiku wa manane natoa tu.

Ungekuwa ni wewe umeomba ushauri na majibu yake km ndio hayo basi ungeshafeli biashara kabisa....nakuapia kabisa!!!.

Chamsingi asome ushauri mwingi mwingi ndpo aanze biashara, huku nje kuna watu wanafungua biashara kwa spidi sana na pia kuna kundi lingine linafunga biashara kwa spidi zaidi
 
Kama mlishindwa kufanya biashara ni nyie msiambukize wengine
watu kama nyie kule jamaica tunawaita mababylon

What goes around always comes around

Majibu yako yanaonesha uwezo wako.
Binafsi, nimeonesha changamoto na nimemwambia aangalie pesa zake zikoje kama ni za mawazo au anatarajia faida ya miujiza haipo.

Any way, lazima tuwe na mitazamo mingi kwenye jambo moja ili tuwe na hatima nzuri.
 
Weka bei mkuu, na vipi utaratibu wa kubadilisha majina na taarifa za mmiliki wa Till?
Usalama ukoje, isije kua unanunua then unamfanyia kazi mwenzako[emoji23]
Bei naziuza 130000 na utaratibu wa kubadili majin haupo yaan kifupi hawaruhusu kubadili majina. Pia kuhusu kaz unafanya na commission unalipwa wewe si ndio unamiliki laini?
Nakupa documents zake zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majibu yako yanaonesha uwezo wako.
Binafsi, nimeonesha changamoto na nimemwambia aangalie pesa zake zikoje kama ni za mawazo au anatarajia faida ya miujiza haipo.

Any way, lazima tuwe na mitazamo mingi kwenye jambo moja ili tuwe na hatima nzuri.
sasa boss hapa duniani hakuna bishara yenye faida ya haraka zaidi ya madawa....dont be so persimist mwache jamaa ajaribu
 
Back
Top Bottom