lumia21
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 273
- 252
Mzee usha wahi fanya hii biashara weww maana povu libavyo kutokaKama unataka kufanya hii biashara tafuta mtandao mwingine voda ni wezi sana..watakuibia kwa kila namna..watakupigia simu ili wakuibie..watakufuata hadi kibandani kwako wakurushie muamala fake...
Voda ni wezi wezi wezi wezi wezi wezi ×20000...
Hebu tuwe wakwel mwambie mtu ukweli sio kukatisha tamaa
Japo commision siku hiz zimepungua . Lakin ukikaa site zenye mzunguko wa pesa utapata chechi tu ya kawaida..
Sent using Jamii Forums mobile app