Hebu twende taratibu! Ina maana siku hizi ukichukua kwa Super Dealer hautakiwi kuweka float?!Ulitaka za bure zina chukua miezi kadhaa kupata lakini ukitaka faster ufanye kazi ndiyo hivyo lazima ununue kwa mtu au kwa super dealers.
Unahizo line....waziuza sh ngapi....Jf tunawekaga kila kitu hadharaniKwa uhitaji wa line nichek 0714846125
Ili uwe wakala lazima uandae lesen ya biashara, id na TIN...Salaam wana jukwaa
Nna mpango wa kuanzisha Huduma ya kifedha,tigopesa,M-PESA
But kubwa zaidi ni kuhusu inshu ya maxmalipo naomba kujuzwa jinsi mashine zinavyopatikana,mtaji wa kuanza nao faida na hasara zake
Sina ufahamu wowote so naomba mnipe elimu kuhusu MAxMalipo
Asanteni
Mkuu mi ntakupigia kesho kama bado hujapata nikupe mimi yaNiuzie mimi 0658380898
Zipo zinauzwa bei 150k lkn inazungumzika bei kwa mwenye pungufuKuna jamaa wa mbeya kapitisha Uzi apa anauza izo mavitu,... 150k
Na hako ka commission lazima wamkate VAT... Watumishi wa voda ni wezi kuliko wa mitandao mingine, voda customer care ni majambazi kuzidi hata Acacia.Kwanza
Mfanyakazi atakuoiga kama siyo wewe mwenyewe unayehamishia wateja pesa. Wafanyakazi wanasajili line wanakuwa wanatoa hudumu wewe line yako haifanyi kazi kabisa.
Pili,
Makapuni ya Simu wanakuibia ile Commission, hawakupi kama ukivyotakiwa kupewa.
Tatu,
Unakaribisha panya road na mbwa mwitu maana, wanasasambua sana humo kwenye vibanda hasa huku dar nasikia ni kawaida.
Nne,
Faida yake nasikia siyo kubwa kiviile, yaani usitarajie miujiza ya kipato kupitia hiyo biashara faida yake siyo kubwa na hasa ukirejea namba hizo juu zote zinasababisha faida kuwa ndogo.
Tano,
Kama una pesa ya mawazo na hesabu Kali. Usitarajie faida ndani ya siku au wiki ni uwekezaji unaohitaji mtu mvumilivu na aliye na vyanzo vinginevyo vya mapato.
Wengine watakuongezea mambo mengine.
Nikutakie uwekezaji mwema.
Asante kwa mawazo mazuri mkuuKwanza

Wengine watakuongezea mambo mengine maana, nami hayo yote nimeyasoma umu humu JF kuhusu uwekezaji.
Nikutakie uwekezaji mwema.
Hahahaa.. Umenichekesha sn mkuu..elf 20??? Mbn watu wananunua line kwa fujo tu badoNa hako ka commission lazima wamkate VAT... Watumishi wa voda ni wezi kuliko wa mitandao mingine, voda customer care ni majambazi kuzidi hata Acacia.
Akumbuke asiingie hiyo biashara endapo ana matarajio makubwa...anaweza akawa anazungusha laki 8... Lakini kwa mwezi mzima akaambulia elfu 20 kama commission yake...kwahiyo azingatie sana aisee!. Bora awekeze kwenye hisa tu