Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Suala sio Mtajiii mzee suala ni miamalaa unayofanya ndo inakupaa Faidaa...!! Sasa wew hata ukiwa na mtaji wa mil 100 unafanya miamala 10 kwa siku mwingne ana Mil 1 anafanya miamala 100 kwa siku lazima atakuzidii tuu!!
Fact
 
Vp kwa anaeanza na mtaji wa kukopa
Hiyo ni juu yako mkuu muhimu utunze biashara na mkopo wa watu kingine omba huo mkopo uwe wa muda kidogo na ukae sehemu yenye mzunguko mzuri wa pesa utapiga hela ya uhakika na tafuta chanzo chako cha mapato upate mtaji wako
 
Mkuu pm yako haikubali kupokea meseji ni pm wewe tuelewane tafadhari
 
Tuwasiliane!
 
Biashara kichaa hyo achana nayo. Saivi haina faida. Laki tano unapata faida elfu 5 kasoro. Kwa ufupi now wamepunguza Hiyo commission so hadi uzungushe pesa ya maana ndo upate faida wengi wamefunga. Piga hesabu kwa hyo faida hapo. Ukion inafaa fanya
 
Ubarikiwe
 
kwahiyo kwa mtaji wa laki tano anaweza kupaata faida s
hillig ngapi kwa mwezi na ule wa millioni moja anaweza kupata faida shilling ngapi
 
Biashara kichaa hyo achana nayo. Saivi haina faida. Laki tano unapata faida elfu 5 kasoro. Kwa ufupi now wamepunguza Hiyo commission so hadi uzungushe pesa ya maana ndo upate faida wengi wamefunga. Piga hesabu kwa hyo faida hapo. Ukion inafaa fanya
Duuuh biashara akili sasa naona hapa mkuu eleta kisicho eleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…