Kajole
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 1,668
- 1,643
Labda hiyo 2M kwa TILL moja yaan m-pesa,tigopesa nkOk....sikuelewa may be vizuri basi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda hiyo 2M kwa TILL moja yaan m-pesa,tigopesa nkOk....sikuelewa may be vizuri basi!
FactSuala sio Mtajiii mzee suala ni miamalaa unayofanya ndo inakupaa Faidaa...!! Sasa wew hata ukiwa na mtaji wa mil 100 unafanya miamala 10 kwa siku mwingne ana Mil 1 anafanya miamala 100 kwa siku lazima atakuzidii tuu!!
niko DsmUnapatikana wapi? Tunaweza ingia ubia tukanunua tukafanya kazi?
Hiyo ni juu yako mkuu muhimu utunze biashara na mkopo wa watu kingine omba huo mkopo uwe wa muda kidogo na ukae sehemu yenye mzunguko mzuri wa pesa utapiga hela ya uhakika na tafuta chanzo chako cha mapato upate mtaji wakoVp kwa anaeanza na mtaji wa kukopa
Biashara nzuri hii....kariakoo sister angu alikuwa anapata faida milioni mbili kwa kila muamala
Kwa kila muamala?
Labda alimaanisha kwa mweziHapana sio kila muamala. Unaposema muamala unamaanisha "transaction" yaan mteja akiweka au kutoa pesa basi unapata 2M
Mkuu pm yako haikubali kupokea meseji ni pm wewe tuelewane tafadhariMtaji ulikuwa mkubwa si kwa mtaji huo wa mleta mada!.
Mi mwenyewe nafanya hiyo biashara mpaka saiz japo nipo mbioni kuifunga na ninauza TILL ZOTE.
TILL ZINAUZWA:
TILL za mitandao yote yaan
1. Vodacom(m-pesa)-150,000/=
2. Tigo(tigopesa) -120,000/=
3. Airtel(Airtel money) -100,000/=
4. Halotel(halopesa)- 70,000/=
pia maelewano yapo!. Till zote zina jina moja.
Kwa mnunuzi karibu PM tufanye biashara pia napatikana mbeya mjini
Karibuni
Tuwasiliane!Mkuu utafanyaje muamala wa 2milions wakat una mtaji wa 500,000?. Si utamwambia mteja sina cash au sina float ili aende kwa mwingine?. Kuwa reality mtaji una umuhim sana ili ufanye miamala mingi otherwise utasubir wa 50,000 au 20,000 akija wa million huwez muhudumia
SawaTuwasiliane!
Boss nmeshakuPM japo mi napokea ujumbe vizur tuMkuu pm yako haikubali kupokea meseji ni pm wewe tuelewane tafadhari
Napata shida kukuPMBoss nmeshakuPM japo mi napokea ujumbe vizur tu
Nicheck 0765065307 pleaseNapata shida kukuPM
Mtaji kwakweli mm kwangu ilikua mil 1 kila line kasoro airtel laki3
kwahiyo laki5 naweka kwenye simu laki5 cash
ina maana ilikua mtaji mil2.5
hapo line zishanunuliwa
ila mkuu mm binafsi niliikuta biashara imeshafika huko.. kwahiyo kama hio mil1.5 ni mtaji tu inatosha sana tu. utapanda kidogo kidogo
EmenUbarikiwe
hillig ngapi kwa mwezi na ule wa millioni moja anaweza kupata faida shilling ngapiMbona umepanic!.kwahiyo umetoka kwenye mtaji wa laki 5 umehamia laki 8 saizi.
Sijakata tamaa na hapa nipo kwenye biashara hiyo muda huu naziuza ni mpya niliomba mwezi wa kwanza ndo nmepewa leo yaan zipo mpya hata kwenye simu hazijawekwa. Na atakaenunua ndo atazitoa kweny vibati vyake na kuanza kuzitumia hivyo elewa sijafunga business natumia nlizonunua kwa watu kabla sijapata zangu.
Mtaji wa 500,000 hauwez mpa faida ya laki 6 kwa mwezi hata afanyaje
Duuuh biashara akili sasa naona hapa mkuu eleta kisicho elewekaBiashara kichaa hyo achana nayo. Saivi haina faida. Laki tano unapata faida elfu 5 kasoro. Kwa ufupi now wamepunguza Hiyo commission so hadi uzungushe pesa ya maana ndo upate faida wengi wamefunga. Piga hesabu kwa hyo faida hapo. Ukion inafaa fanya
Mtaji ulikuwa mkubwa si kwa mtaji huo wa mleta mada!.
Mi mwenyewe nafanya hiyo biashara mpaka saiz japo nipo mbioni kuifunga na ninauza TILL ZOTE.
TILL ZINAUZWA:
TILL za mitandao yote yaan
1. Vodacom(m-pesa)-150,000/=
2. Tigo(tigopesa) -120,000/=
3. Airtel(Airtel money) -100,000/=
4. Halotel(halopesa)- 70,000/=
pia maelewano yapo!. Till zote zina jina moja.
Kwa mnunuzi karibu PM tufanye biashara pia napatikana mbeya mjini
Karibuni