Laini zipo za uhakika mwenyewe nipo na hii kitu ila nimeweka kijana
Lala sasa kama unaogopa kununua unaulizia za nini mbona unayumba mzeeNilijaribu kuulizia nikaambiwa ukiwa mzembe unaweza pigwa dole la macho yaan unaweza uziwa lain sio
muheshimiwa umeshafanikiwa???Waheshimiwa sana wana jf
Naomben msaada wamawazo natak nifany hii mambo ya uwakala ila bado sijajua utaratibu wa upatikanaji wa lain za kufanyia biashara
Naomba kwa wazoefu wa kaz hiz mnipe mwanga nijue naanza wap. Asanteni
muheshimiwa umeshafanikiwa???
Njooo pm kiongoziMimi nahitaji mkuu
mimi naifanya hiyo business, inalipa sana goli likiwa sehemu yenye mzunguko mkubwa sana wa watu, mtaji wa wastani kwa kuanzia uwe na total M 2 ambapo flot tgo weka 500k, voda 350k na airtel 150 k mkononi cash unabaki na M 1.Yaani ni kiasi gani kinatakiwa kuanza nacho kama mtaji, na faida yake ikoje , na ni maeneo gani mazuri ya kuweka ofisi?
Na vipi kuhusu madhara yake.
Huyu kadanganyamimi naifanya hiyo business, inalipa sana goli likiwa sehemu yenye mzunguko mkubwa sana wa watu, mtaji wa wastani kwa kuanzia uwe na total M 2 ambapo flot tgo weka 500k, voda 350k na airtel 150 k mkononi cash unabaki na M 1.
I can tell you ukiwa eneo lililochangamka hukosi M 1 kwa mwezi, mimi nina magoli matatu (mabanda nimeyatengeneza kisasa) na yote yapo mtaa mmoja, banda moja lililochangamka sana linanipa si chini ya 1.7 m kwa mwezi hapo nina wadada wawili wa kazi, goli la pili lipo kawaida ila huwa sikosi M 1 kwa mwezi hapo mtu wa kazi yupo mmoja na la tatu nmelianzisha mwaka huu kipato chake bado hakijawa stable ila wateja wanazoea zoea nadhan, ila huwa sikosi 600k
thanks to god the almighty
Mimi namuangalia jinsi anavyo jikanyaga tu!
Kama kadanganya tupe uzoefu wako au ukweli wako