Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Waheshimiwa sana wana jf

Naomben msaada wamawazo natak nifany hii mambo ya uwakala ila bado sijajua utaratibu wa upatikanaji wa lain za kufanyia biashara

Naomba kwa wazoefu wa kaz hiz mnipe mwanga nijue naanza wap. Asanteni
muheshimiwa umeshafanikiwa???
 
Inalipa
1542444475649.jpeg
 
Nauza line ya TIGOPESA,

Ina tatizo la kutorudisha meseji mtu anapotoa pesa.

Ila kamisheni inaingia bila tatizo.

0656713571
 
#3
Anaeitaj laini za Halopesa Mimi nakutengenezea na jina lako sharti lake uwe na kitambulisho tu Bei shilling Elf 30000 namba yangu ya simu 0659202222
 
Yaani ni kiasi gani kinatakiwa kuanza nacho kama mtaji, na faida yake ikoje , na ni maeneo gani mazuri ya kuweka ofisi?
Na vipi kuhusu madhara yake.
mimi naifanya hiyo business, inalipa sana goli likiwa sehemu yenye mzunguko mkubwa sana wa watu, mtaji wa wastani kwa kuanzia uwe na total M 2 ambapo flot tgo weka 500k, voda 350k na airtel 150 k mkononi cash unabaki na M 1.

I can tell you ukiwa eneo lililochangamka hukosi M 1 kwa mwezi, mimi nina magoli matatu (mabanda nimeyatengeneza kisasa) na yote yapo mtaa mmoja, banda moja lililochangamka sana linanipa si chini ya 1.7 m kwa mwezi hapo nina wadada wawili wa kazi, goli la pili lipo kawaida ila huwa sikosi M 1 kwa mwezi hapo mtu wa kazi yupo mmoja na la tatu nmelianzisha mwaka huu kipato chake bado hakijawa stable ila wateja wanazoea zoea nadhan, ila huwa sikosi 600k

thanks to god the almighty
 
Ila biashara hii inahitaji usimamizi wa hali ya juu, vinginevyo utakuwa unaletewa loss za kila siku, kama huifanyi wewe, nakushauri utafute mtu wa kazi makini na muaminifu mpeleke kwa wakala wako mkuu aliyekupa laini apigishwe training kuhusu miamala na matapeli.

N.B kuwa makini ni kweli matapeli wapo sana, kuna wanaokuja physically na wanaokuja kwa njia ya simu kujifanya wao ni watu wa mitandao husika

thanks to god the almighty
 
Ushauri mwingine naoweza kukupa, nenda kasajili laini za uwakala kwa majina yako mwenyewe, usinunue laini za mtaani utakuja kuleta kilio humu

Ili uzipate laini kwa majina yako, mtafute wakala mkuu kwa tigo na voda ,kwa aitel money nenda airtel shop. hapa watahitaji copy ya leseni ya biashara, copy ya kitambulisho, copy ya tin namba na passport size mbili for each case.

Ila utazisubiri ndani ya mwezi 1 hadi 2, ingawaje sisi wakongwe huwa tunapita shortcut ili kuzipata haraka ndani ya siku 2

thanks to god the almighty
 
mimi naifanya hiyo business, inalipa sana goli likiwa sehemu yenye mzunguko mkubwa sana wa watu, mtaji wa wastani kwa kuanzia uwe na total M 2 ambapo flot tgo weka 500k, voda 350k na airtel 150 k mkononi cash unabaki na M 1.

I can tell you ukiwa eneo lililochangamka hukosi M 1 kwa mwezi, mimi nina magoli matatu (mabanda nimeyatengeneza kisasa) na yote yapo mtaa mmoja, banda moja lililochangamka sana linanipa si chini ya 1.7 m kwa mwezi hapo nina wadada wawili wa kazi, goli la pili lipo kawaida ila huwa sikosi M 1 kwa mwezi hapo mtu wa kazi yupo mmoja na la tatu nmelianzisha mwaka huu kipato chake bado hakijawa stable ila wateja wanazoea zoea nadhan, ila huwa sikosi 600k

thanks to god the almighty
Huyu kadanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom