mimi naifanya hiyo business, inalipa sana goli likiwa sehemu yenye mzunguko mkubwa sana wa watu, mtaji wa wastani kwa kuanzia uwe na total M 2 ambapo flot tgo weka 500k, voda 350k na airtel 150 k mkononi cash unabaki na M 1.
I can tell you ukiwa eneo lililochangamka hukosi M 1 kwa mwezi, mimi nina magoli matatu (mabanda nimeyatengeneza kisasa) na yote yapo mtaa mmoja, banda moja lililochangamka sana linanipa si chini ya 1.7 m kwa mwezi hapo nina wadada wawili wa kazi, goli la pili lipo kawaida ila huwa sikosi M 1 kwa mwezi hapo mtu wa kazi yupo mmoja na la tatu nmelianzisha mwaka huu kipato chake bado hakijawa stable ila wateja wanazoea zoea nadhan, ila huwa sikosi 600k
thanks to god the almighty