Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

JAMANI MISIJAFANYA HII KAZI ILA NNARAFIKI ANGU YUPO PALE DODOMA CHUO CHA SANTI JOHN NJE KWA MWEZI LAINI YA TIGO ANAINGIZA LAKI 6 MPAKA 7 VODA LAKI 5 MPAKA 4 NA AIRTEL ANASEMA HUWA NI LAKI 4 AU 3 NA 80 ASEE HII BIASHARA NILICHOGUNDUA MAENEO YA MZUNGUKO WA WATU HASA HASA WANAFUNZI WA CHUO AU KATIKATI YA JIJI HAPO UTAFAIDI MBALI NA HAPO UTAKULA PESA YA KULA TU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hii biashara naifanya ila mkoa niliopo naeneo nililopo naishia kupata hela yakula nakulipia kodi tu!! Kama nikipata eneo zuri kama dar itabidi nihamie

Sent using Jamii Forums mobile app
 

You mean god or God?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
huku Mwanza Voda ndio una takiwa uweke 500k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ningum kuaminika labda useme mtaji wako siyo chini ya m5
 
Kudanganya wenzako kunakusaidia nini labda.. hebu acha fix kaka... 1.7 kwenye biashara ya money transaction kwa mwezi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Y Yaani pesa zote hizo afu unasema eti goli halijachangamka? Huo ni mshahara wa mtumishi mwenye degree kwa mwezi
 
Hapa ningum kuaminika labda useme mtaji wako siyo chini ya m5
mkuu, hujanielewa vizuri, pia hujamuelewa vizuri aliyeomba ushauri kuhusu hii business. Mimi nmemshauri kwa uzoefu wangu nilioanzia biashara na hali halisi ya biashara ilivyo sehemu yenye mishe mishe za watu.

Maana yake hadi kufikia sasa mtaji wangu umekua, kwa commission hizo sipo kwenye mtaji wa 2M tena

thanks to god the almighty
 
Mm ningependa kujua njisi ya kupata faida.. Uzuri wa hii biashara si rahisi kupoteza mtaji..yaani ukishindwa unaacha tu.

Mtaji unapotea kirahisi sanaaaaaa..... Hasa ukikutana na experienced tapeli. Au msaidiz wa hii kazi asipokua makini. Msaidiz wangu hakua makini baada ya kuizoe kazi akajiona ni much know, nakwambia nilipotza zaidi ya 700k ndani ya wiki mbili, nimakosa madogo madogo tu yanaponza.
 
yeah, ndio maana inashauriwa hawa wasaidizi wapelekwe training

thanks to god the almighty
 
mr kick man!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapo umeweka mtaji kiasi gani boss kwa magoli yote matatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo wa Karne
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi nilijua peke yangu ndio nmeshangaa kumbe tupo wengi tunaoshangaa.
Halaf jamaa inaonekana hajui kabisa na wala hajawah kufanya biashara.
Milioni 2 ni mtaji mdogo sana kuweza kupata faida hata ya laki 3.
Maana kwa huo mtaji wakija wateja watatu tu kutoa pesa unaishiwa cash.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…