flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,860
- 6,390
Mkuu kiukweli watu hawajui2 ila mimi nakubaliana nawewe kuna jamaa yangu anaingizaga mpaka milioni moja huku mkoaniferry kigamboni, karibu na wewe ufungue goli lako, kuna watu nyomi wanaovuka, kuna chuo pale, stendi......kiufupi kuna mzunguko mkubwa wa watu
thanks to god the almighty
Sent using Jamii Forums mobile app