mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,952
Asante mkuu.karibu, mimi naifanya
Asante mkuu. Malipo yake yakoje mkuu na upatikanajiwake na taratibu zake zikoje mkuu na ulipwaji wakekaribu ndugu wazoefu tukusaidie
kila muamala unaofanya kwa mteja(kuweka au kutoa) una kamisheni yake. jumla ya kamisheni zote unalipwa mwisho wa mweziAsante mkuu. Malipo yake yakoje mkuu na upatikanajiwake na taratibu zake zikoje mkuu na ulipwaji wake
Je sikuhizi nini??Hyo huduma ilikuwa zamani sio siku izi
kwanini unasema sasa hivi ngumu.?Hi huduma ilikuwa inalipa 2011na12,nimeifanya Sana sasa HV ngumu
Utuletee na mrejesho mwisho wa mwezi mkuuMimi nimeanza mwezi huu....namshukuru Mungu ninaona wateja japo sio wengi,mwisho wa mwezi nitajua nilichofanya,i will learn and move forward
Nitakuja mkuu,,,tuombeane kheri kwa Mungu.Utuletee na mrejesho mwisho wa mwezi mkuu
Mkuu,
USALAMA! USALAMA! USALAMA!Hi
Jamani kwa anaefahamu mambo ya hii mitandao kuhusu kuweka na kutoa pesa (UWAKALA)
Nafikiria kuanzisha mambo ya M PESA, TIGO PESA, AIRTEL MONEY, HALOPESA nk
Lakini sijajua malipo yao yakoje.
Kwa mwenye elimu juu ya hili naomba ufafanuzi tafadhali.
Naskia mzava ashtumbuliwa vyeti fekiMkuu kuhusu LUKU nenda Tanesco kwa bwana mmoja anaitwa Mzava (Marketing manager) utapewa maelezo. Ukimkosa Mzava mtafute Ms Sana.
Hii ndo sekta yangu sitatia neno but nikukosoe uliyesema ilikuwa zaman mim nasema haitakufa na itazid kuchanua na niende mbali zaid nikwambie kuwa ndio biashara pekee Tanzania unayoweza kuifanya leo kwa milioni mbili na kesho ukaifanya kwa million mia mbili bila presha wala stressHyo huduma ilikuwa zamani sio siku izi