Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Hi

Jamani kwa anaefahamu mambo ya hii mitandao kuhusu kuweka na kutoa pesa (UWAKALA)

Nafikiria kuanzisha mambo ya M PESA, TIGO PESA, AIRTEL MONEY, HALOPESA nk

Lakini sijajua malipo yao yakoje.

Kwa mwenye elimu juu ya hili naomba ufafanuzi tafadhali.
 
sjajua kwa wanaofanya sku hz ila zaman ilikuwa inalipa....mm nshawahi kufanya hyo boashara lakn skuona matunda maana inahtaji eneo lenye mzunguko mkuba wa watu.........japo naskia pia makampun ya smu kama voda tgo amepunguza malipo kutokana na sabab zisizojulikana.

faida unapata endapo watu watakuja kutoa na kuweka pesa kwako yaan unalipwa kwa camishen mwisho wa mwez
 
Asante mkuu. Malipo yake yakoje mkuu na upatikanajiwake na taratibu zake zikoje mkuu na ulipwaji wake
kila muamala unaofanya kwa mteja(kuweka au kutoa) una kamisheni yake. jumla ya kamisheni zote unalipwa mwisho wa mwezi

Nb
Tafuta eneo lenye mzunguko mkubwa sana wa watu vinginevyo utashindwa kumlipa hata mtu uliemuajiri
 
Hi huduma ilikuwa inalipa 2011na12,nimeifanya Sana sasa HV ngumu
 
Skuiz mitandao hailip sana kikubwa changanya na nmb wakal,fahar huduma na benk nyngne ndo wanalpa fresh
 
Hi

Jamani kwa anaefahamu mambo ya hii mitandao kuhusu kuweka na kutoa pesa (UWAKALA)

Nafikiria kuanzisha mambo ya M PESA, TIGO PESA, AIRTEL MONEY, HALOPESA nk

Lakini sijajua malipo yao yakoje.

Kwa mwenye elimu juu ya hili naomba ufafanuzi tafadhali.
USALAMA! USALAMA! USALAMA!

Nimetaja mara tatu,
Hilo ni tatizo kubwa sana.
 
Hyo huduma ilikuwa zamani sio siku izi
Hii ndo sekta yangu sitatia neno but nikukosoe uliyesema ilikuwa zaman mim nasema haitakufa na itazid kuchanua na niende mbali zaid nikwambie kuwa ndio biashara pekee Tanzania unayoweza kuifanya leo kwa milioni mbili na kesho ukaifanya kwa million mia mbili bila presha wala stress
 
Back
Top Bottom