Mkuu mazingira ya sasa hivi kwa nchi yetu huoni kama sio rafiki kwa hii biashara, maana kila siku zinawekwa sheria mpya ambazo hazimbebi mfanyabiashara(kama kule kwenye foreign exchanges).Murusi sitaki ubishi kama ule wa Messi na CR7 au siasa za akina fulani na fulan lete hoja za msingi refering to WB and IMF projections in 50 years to come halafu utaelewa kuwa hukuwa na knowledge kichwan kuhusu hii kitu kabla hujanijibu.
Dks Ngoja nikwambie jambo Mtz mwenzangu, Zama hizi tarajia vikwazo vingi kila kona as long as Govt haina chanzo thabiti cha mapato zaid ya kukupora hicho ulichonacho so ni creativity yako tu ndo itakuokoa katika hiyo sekta uliyopo na usihofu maana creativity yako inaweza iwe super killer ya silaha wanayoitegemea Serikali Just carry it on this is Survival for the fitest.You must be fit mentally as long as we don't posess power. Message delivered ? Keep going no matter what.Mkuu mazingira ya sasa hivi kwa nchi yetu huoni kama sio rafiki kwa hii biashara, maana kila siku zinawekwa sheria mpya ambazo hazimbebi mfanyabiashara(kama kule kwenye foreign exchanges).
Sent using Jamii Forums mobile app
Be serious so that people may take you in a serious way.Mm pia nina ka-20m nahitaji sana kuijua hii biashara kwa undani...na napenda niifanyie kariakoo.
Nakubaliana na wewe kuwa creativity ni kitu kikubwa katika biashara yeyote, lakini mazingira yasipokuwa sawa unategemea nini kitatokea? Mfano halisi ni bureau de change, siku hizi banks ndo zinafanya hiyo kitu. What happened kwa wale waliokua wanafanya hiyo biashara? Hicho ndo nilikua naulizia pia kwa upande wa hizi mpesa na ndugu zakeDks Ngoja nikwambie jambo Mtz mwenzangu, Zama hizi tarajia vikwazo vingi kila kona as long as Govt haina chanzo thabiti cha mapato zaid ya kukupora hicho ulichonacho so ni creativity yako tu ndo itakuokoa katika hiyo sekta uliyopo na usihofu maana creativity yako inaweza iwe super killer ya silaha wanayoitegemea Serikali Just carry it on this is Survival for the fitest.You must be fit mentally as long as we don't posess power. Message delivered ? Keep going no matter what.
You are rightHii ndo sekta yangu sitatia neno but nikukosoe uliyesema ilikuwa zaman mim nasema haitakufa na itazid kuchanua na niende mbali zaid nikwambie kuwa ndio biashara pekee Tanzania unayoweza kuifanya leo kwa milioni mbili na kesho ukaifanya kwa million mia mbili bila presha wala stress
MKUU,Senator koroshow vp?? Naona USALAMA, USALAMA ...USALAMA TU...njoo na koroshow
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinjumbi nimekuelewa zaid ya ulivyotegemea ila mm sio huyo unayemfikiria. They don't know and they don't want to know. Mwisho, Kinjumbi nitake radhi kwa kunihusisha na uharamia.Mbona kama unaonekana kuna vitu unavifanya visivyo vya halali ktk hii biashara? Naona unazunguka zunguka tu reply zako zote. Sikiliza mtoa mada, hii biashara ni mzuri ukipata eneo lenye movement kubwa. Kwasasa kama walivyosema baadhi ya watu kwamba commission zimeshuka sana ukilinganisha na awali. Pia siku hizi unakatwa kodi ya asilimia kumi ya commission yako, zamani haikuwepo. Kwa mikoa ya pwani yani dar na wenzie, tigo ndo anaongoza kwa commission, kwa mikoa ya kusini, airtel ndo anaongoza. Kanda ya ziwa vodacom anaongoza. Ukipata sehemu mzuri kwa dar tigo unaweza kupata hadi laki 7 vodacom laki 4 na airtel laki 3. Zamani tigo ilikuwa hadi 1m vodacom laki 8. Changamoto ktk biashara hii, ukiachilia mbali matapeli na vibaka kukumezea mate, lkn pia inatabia ya kukata pesa bila kujua sababu. Yani unawza balance vizuri hasubui, lkn jioni ukakuta hata tsh 70,000 haipo. Hiyo ndo changamoto kubwa ambayo haijapatiwa ufumbuzi hadi leo. Namna ya ziada kujiongezea kipato ni kuwachaji watu wanaotaka kutuma hela direct, unaweza kuchaji hata buku, unaangalia na mtu mwenyewe. Ukipata watu wa 5 kwa siku unakuwa ushapata nauli.
Ingawa sikusema wewe ni mhalifu, ila sikuridhishwa na namna unavyowasilisha mchango wako, kwamba unaonekana unaijua vizuri hii biashara lakini hufunguki. Ila yote kwa yote, niwie radhi mkuu.Kinjumbi nimekuelewa zaid ya ulivyotegemea ila mm sio huyo unayemfikiria. They don't know and they don't want to know. Mwisho, Kinjumbi nitake radhi kwa kunihusisha na uharamia.
Poa mkuu But Kinjumbi unaelewa vizuri nachokimaanisha na wasioelewa c wanataka nifunue pazia si ndio?????Ingawa sikusema wewe ni mhalifu, ila sikuridhishwa na namna unavyowasilisha mchango wako, kwamba unaonekana unaijua vizuri hii biashara lakini hufunguki. Ila yote kwa yote, niwie radhi mkuu.
Mwaga mchele hapa boss, unless ni illegalPoa mkuu But Kinjumbi unaelewa vizuri nachokimaanisha na wasioelewa c wanataka nifunue pazia si ndio?????
Umefungua kwa Mtaji kihasi gani biashara mzima.kweli mkuu wewe idea unaonekana unayo, nami kwa sasa napata hivyo hivyo tigo laki 7 hadi 8, voda laki 4 hadi 5, airtel laki 3 hadi 3 na nusu, halotel laki 1 hadi laki na nusu. Sijawahi kushuka chini ya hapo, hata mwezi uwe dume kiasi gani
Nitaleta mrejesho wa kamisheni mwezi huu, mnikumbushe
Sent using Jamii Forums mobile app