Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Murusi sitaki ubishi kama ule wa Messi na CR7 au siasa za akina fulani na fulan lete hoja za msingi refering to WB and IMF projections in 50 years to come halafu utaelewa kuwa hukuwa na knowledge kichwan kuhusu hii kitu kabla hujanijibu.
Mkuu mazingira ya sasa hivi kwa nchi yetu huoni kama sio rafiki kwa hii biashara, maana kila siku zinawekwa sheria mpya ambazo hazimbebi mfanyabiashara(kama kule kwenye foreign exchanges).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dks Ngoja nikwambie jambo Mtz mwenzangu, Zama hizi tarajia vikwazo vingi kila kona as long as Govt haina chanzo thabiti cha mapato zaid ya kukupora hicho ulichonacho so ni creativity yako tu ndo itakuokoa katika hiyo sekta uliyopo na usihofu maana creativity yako inaweza iwe super killer ya silaha wanayoitegemea Serikali Just carry it on this is Survival for the fitest.You must be fit mentally as long as we don't posess power. Message delivered ? Keep going no matter what.
 
Katika replies zote hakuna aliyeweza msaidia alichouliza ilihali kuna watu wamesema wanaifanya hii biashara, mmoja2 kasema wanalipa kwa kamisheni mwisho wa mwezi, najua hajaelewa kamisheni inakuwaje, mfano labda ukifanya miamala kiasi flani, tegemea kupata kamisheni ya sh kadhaa kwa mwezi

Niulize chkulia mfano umefanya miamala ya ya200k kwa mwezi, watakulipa sh ngapi kwa mwezi?? (Wengi tunajifunza, na kujifunza kwetu hakuzibi riziki ya wew uliyeko kwenye system!

Nawakilisha
 
Saint Leo,
[/QUOTE]
Mkuu ukitaka kuwekeza sehem ujue watu wanakusubiri uingie uanguke ili kuprove Umaster wao katika hiyo biz so kukaa tu somewhere na kupost maswali kwenye thread hakutoshi kutoa majibu ya kumshibisha mdau anaetaka kuingia katika sekta fulani kwasababu unaweza ukastuka nikikwambia kuwa huhitaji kulipwa kamisheni ili uendelee kuifanya hiyo biz najua baada ya mstuko swali litakalofuata ni hili je Nitanufaika vipi na hii biashara nisipotegemea kamisheni? Sasa jibu kwa swali kama hilo utalikuta humu kweli ? I'm tryn my levelbest to make u get me even on ur low knowledge about this issue of hustling no matter at what level of toiring U are.
 
Dks Ngoja nikwambie jambo Mtz mwenzangu, Zama hizi tarajia vikwazo vingi kila kona as long as Govt haina chanzo thabiti cha mapato zaid ya kukupora hicho ulichonacho so ni creativity yako tu ndo itakuokoa katika hiyo sekta uliyopo na usihofu maana creativity yako inaweza iwe super killer ya silaha wanayoitegemea Serikali Just carry it on this is Survival for the fitest.You must be fit mentally as long as we don't posess power. Message delivered ? Keep going no matter what.
Nakubaliana na wewe kuwa creativity ni kitu kikubwa katika biashara yeyote, lakini mazingira yasipokuwa sawa unategemea nini kitatokea? Mfano halisi ni bureau de change, siku hizi banks ndo zinafanya hiyo kitu. What happened kwa wale waliokua wanafanya hiyo biashara? Hicho ndo nilikua naulizia pia kwa upande wa hizi mpesa na ndugu zake

Creativity means nothing mkuu kama gavoo ikizingua na kuanza kuweka mazingira mabovu kwa uwekezaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ndo sekta yangu sitatia neno but nikukosoe uliyesema ilikuwa zaman mim nasema haitakufa na itazid kuchanua na niende mbali zaid nikwambie kuwa ndio biashara pekee Tanzania unayoweza kuifanya leo kwa milioni mbili na kesho ukaifanya kwa million mia mbili bila presha wala stress
You are right

Kuna kaka angu, alikuwa na duka la jumla lkn ASAIVI kaacha ni wakala mkubwa sana usipime

Mtaji wake ASAIVI ni mwaka wa pili tuh ila unarange 20 million

I believe, kutokana na umakini alionao, miaka miwili Tena mbele, atafikisha hadi 100 million

Inalipa sana, MUHIMU UMAKINI KUKABILIANA NA WAJANJA WA MJINI
LA SIVYO, UTAMPA MTU CASH KUMB HAJATOA PESA ILA KAKUTUMIA TEXT YA KITAMBO AMBAYO ALIKUJA KUITOA KWAKO ILA HAKUIFUTA, BADALA YAKE KAIFANYIA EDITING, WEWE KWA HARAKA ZAKO UKAMPA PESA BILA KUTAZAMA TAREHE WA SALIO LA JUMLA, (Tena watu kama Hawa wanakuja kama saba kwa pamoja, japo huwezi jua kama ni ndugu, ila mmoja ndo anakuja na dili la kukupiga na Hao wengine wanafanya kitu correct bila wasi,) ukifanikiwa kweny umakini huo utatoboa

Baadhi wanajifanya wametoa elfu hamsini kumbe katoa 5000.00 wewe ukinichanganya na haraka zako kutokana na wateja umeliwa

Nikutakie kazi njema mtoa post, JAPO KUPATA HIZO LAINI HASWA VODA KWA SASA NDO SHIDA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dks1131,
Mtazame Messi anavyocheza kisha jifunze kitu, ukiwa striker usijifunze kupiga penalt tu Hata hiyo penalt inaweza ikaja wakati mwenzenu mmoja au wewe mwenyew umebebwa kwenye machela kwenda kutibiwa yaan umevunjika mguu Chukua hii kweny maisha inakubidi uwe imara kimwili, kiakili na nafsi iwe na uvumilivu sana mkuu wacheki wachina walivyopambana kumuondoa Mjapan au nchi zilizotawaliwa na mreno zilivyotoa jasho mkuu Kuwin something sio kizembe mkuu.
 
Sonko Bibo,
Mbona kama unaonekana kuna vitu unavifanya visivyo vya halali ktk hii biashara? Naona unazunguka zunguka tu reply zako zote. Sikiliza mtoa mada, hii biashara ni mzuri ukipata eneo lenye movement kubwa. Kwasasa kama walivyosema baadhi ya watu kwamba commission zimeshuka sana ukilinganisha na awali. Pia siku hizi unakatwa kodi ya asilimia kumi ya commission yako, zamani haikuwepo. Kwa mikoa ya pwani yani dar na wenzie, tigo ndo anaongoza kwa commission, kwa mikoa ya kusini, airtel ndo anaongoza. Kanda ya ziwa vodacom anaongoza. Ukipata sehemu mzuri kwa dar tigo unaweza kupata hadi laki 7 vodacom laki 4 na airtel laki 3. Zamani tigo ilikuwa hadi 1m vodacom laki 8. Changamoto ktk biashara hii, ukiachilia mbali matapeli na vibaka kukumezea mate, lkn pia inatabia ya kukata pesa bila kujua sababu. Yani unawza balance vizuri hasubui, lkn jioni ukakuta hata tsh 70,000 haipo. Hiyo ndo changamoto kubwa ambayo haijapatiwa ufumbuzi hadi leo. Namna ya ziada kujiongezea kipato ni kuwachaji watu wanaotaka kutuma hela direct, unaweza kuchaji hata buku, unaangalia na mtu mwenyewe. Ukipata watu wa 5 kwa siku unakuwa ushapata nauli.
 
Kinjumbi nimekuelewa zaid ya ulivyotegemea ila mm sio huyo unayemfikiria. They don't know and they don't want to know. Mwisho, Kinjumbi nitake radhi kwa kunihusisha na uharamia.
 
Kinjumbi nimekuelewa zaid ya ulivyotegemea ila mm sio huyo unayemfikiria. They don't know and they don't want to know. Mwisho, Kinjumbi nitake radhi kwa kunihusisha na uharamia.
Ingawa sikusema wewe ni mhalifu, ila sikuridhishwa na namna unavyowasilisha mchango wako, kwamba unaonekana unaijua vizuri hii biashara lakini hufunguki. Ila yote kwa yote, niwie radhi mkuu.
 
Ingawa sikusema wewe ni mhalifu, ila sikuridhishwa na namna unavyowasilisha mchango wako, kwamba unaonekana unaijua vizuri hii biashara lakini hufunguki. Ila yote kwa yote, niwie radhi mkuu.
Poa mkuu But Kinjumbi unaelewa vizuri nachokimaanisha na wasioelewa c wanataka nifunue pazia si ndio?????
 
kweli mkuu wewe idea unaonekana unayo, nami kwa sasa napata hivyo hivyo tigo laki 7 hadi 8, voda laki 4 hadi 5, airtel laki 3 hadi 3 na nusu, halotel laki 1 hadi laki na nusu. Sijawahi kushuka chini ya hapo, hata mwezi uwe dume kiasi gani

Nitaleta mrejesho wa kamisheni mwezi huu, mnikumbushe

Sent using Jamii Forums mobile app
Umefungua kwa Mtaji kihasi gani biashara mzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom