Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Nenda ofisi za vodashop hapo watakuelekeza kila kitu, ila cha muhimu uwe na tin pamoja na lesen ya biashara vilivopigwa muhuri wa mwanasheria au mahakama
 
Kuna njia mbili za kupata till ya mpesa,
ya kwanza ni kuandaa copy ya leseni ya bihashara, tin number, copy ya kitambulisho halali, baada ya hapo unaenda vodashop unajaza fomu na kugonga muhuri wa mwanasheria, hapa hakuna gharama kubwa zaidi ya copy copy tu.
Njia ya pili, ni kununua till hand to hand toka kwa mmiliki wa hiyo till.hapo gharama hutegemeana mtu had mtu.
Angalizo. Unaponunua till hand to hand hakikisha unakuwa na uhakika wa documents za muuzaji. Km unataka till kwa mtu wa mbeya, iringa, njombe, moro, dom, zile za hand to hand ni pm
 
Nipo TANGA nahitaji line ya uwakala TIGOPESA mwenye nayo na uwezekano wakuonana upo nicheki fasta 0715030532
 
Baada ya kusoma kwa umakuni huu uzi,kuna haja haya makampuni ya simu kuhakiki upya hizo Till,mtu aliyeshindwa kufanya biashara airudishe kwenye kampuni husika na anayetaka kufanya biashara akaichukue kwenye kampuni.Sheria za kubiashara ni ngumu sana,unaponunua line ya mtu nakuendelea nayo siku likitokea la kutokea ni ngumu sana kutetewa kama line unayotumia kisheria aijasajiliwa kwa jina lako.
 
Mbona simple boss unajari leseni unapeleka wanakupa...... Utarudishaje kwa kampuni husika Wakati kupata ulisota
 
Mbona simple boss unajari leseni unapeleka wanakupa...... Utarudishaje kwa kampuni husika Wakati kupata ulisota
Kama ni ngumu kupata line nimelewa kwanini kuwekeza kibiashara kusini mwa jangwa la sahara ni kazi sana,kama ngozi nyeusi yenyewe kwa yenyewe inabaniana.
 
kwa wote wanaohitaji laini za voda zenye majina yao kwa bei ya maelewano, karibuni pm.(dsm tu)
 
Nakushauri ushaur wa bure...nenda katika.ofisi za mitandao.husika utakuja lizwa ndugu
 
Nahitaji line tatu za uwakala, Tigo, airtel na Voda,
Nataka zote ziwe kwa jina langu.

0786133399
 
Back
Top Bottom