Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

yes ni moja but ndani inakuwa tofauti ngoja nikupigie picha uone ndani kulivyo
Hiyo apoo mpesa wakala ndani
20181017_193007.jpg
 
Waungwana nimepata ka milioni moja,sasa nahitaji kuanzisha biashara ya fedha za kwenye mitandao ya simu kama tigo pesa, Airtel money na M.Pesa.
Je hii biashara inaweza kunitoa? Na zipi changamoto zake?
 
Wee anzisha tu mkuu hasara na faida utavijua mdogo mdogo mtu wangu maana uhondo wa ngoma uingie uwanjani
 
Ndio
Waungwana nimepata ka milioni moja,sasa nahitaji kuanzisha biashara ya fedha za kwenye mitandao ya simu kama tigo pesa, Airtel money na M.Pesa.
Je hii biashara inaweza kunitoa? Na zipi changamoto zake?
 
Nenda kwa wakala muulize akufafanunulie ila nachojua inategemea na mzunguko.unavyofanya mihamala mingi ndivyo gawio lako linavyokuwa kubwa.na mihamala inategemea na mazingira uliyopo
 
Njoo nikuuzie mashine ya selcom kwa ajili ya kuuza luku na malipo mengine yote ya serikali
 
Wandugu wa jf habarini za midaa hii.

ama baada ya salaam mi nipende kuja na mada hii kama inavyosomeka hapo juu. kwa sisi ambao tupo kijasiliamali zaidi huwa tunapenda kujihusisha na vitu mbalimbali vya kutupatia ugali ili siku iende; kwa maaana hiyo huwa hata tunafanya kazi za uwakala.
Changamoto iliyonikuta mpaka nakuja humu ni kwamba ni upi hasa utaratibu wa kupata laini ya uwakala wa mpesa unaotambulika?

Mwaka 2016 niikuwa pande za SUA pale Mji kasoro bahari, pale niliomba lain mashariti niliyoambiwa ni kupeleka nakala ya TIN, Leseni na kitambulisho zikiwa zimethibitishwa na mwanasheria na mimi nilifanya hivyo nikapata laini yangu ndani ya mwezi mmoja.

hapa TARIME nimekuja ni tofauti kabisa, mbali na kupeleka hizo nakala unaambiwa na wale wahudumu wa vodashop ya mzungu mmoja eti ulipie 50,000/= swali langu kwa VODACOM ni kwamba upi utaratibu hasa wa kupata laini? kwa nini mkoa mwingine iwe ni bure wakati sehemu zingine tunalipia? tena cha ajabu ukilipia halafu ukadai risiti unapewa risiti imeandikwa .....Chacha....... hii ina maana gani?

achilia hilo, unaweza peleka nakala zako ukamaliza mwaka hujapata laini yako, mfano: maka jana (2017 may nilienda vodashop Tarime kuomba hiyo laini nikaacha nakala zilizodhibitishwa za baba, nikaambiwa nitajulishwa kwa sms, siku zilipita nyingi bila kupata sms hivyo nikaenda kuulizia majibu niliyoyapata ni kwamba document zilichomwa moto kimakosa na hivyo napaswa kupeleka tena upya hizo document. sikukuzipeleka tena maana nilikata tamaa cha ajabu mwaka huu mwezi wa april baba kapigiwa simu ikimtaka atumie laini vinginevyo itafungwa ili hali mimi niliambiwa laini haipo na haikutengenezwa. niliamua kwenda kuulizia wakasema hata wao hawajui hii ina maana kwamba waliuza laini yangu ama kwa makusudi ama kwa kutojua...nilipeleka document tena kuomba swap mwezi wa june mpaka leo laini haijatoka na hakuna majibua ya kueleweka.


OMBI: 1. naomba kama kuna afisa yeyote wa voda anipatie hayo majibu ni kwanini inakuwa hivyo kama nilivyoeleza hapo juu.
2. naomba msaada wa kisheria humu namna ya kufanya ili nipate laini maana nahisi kama ni makosa kutumia visvyo vyako bila rdhaa ya mmiliki na kama ndo hivyo nifanyeje ili nimwajibishe meneja wa vodashopTarime kwa kunipotezea mda kiasi hicho?
 
hata mimi, kuna goli ninalo laini ya tigo niliomba mwezi wa nne mwaka huu, hadi leo haijatoka, bila kujiongeza kutafuta nyingine biashara isingenza....kila nikiwapgia simu wananambia tigo bado hawajajibu, wakijibu watanijulisha, inachosha sana
 
OMBI: 1. naomba kama kuna afisa yeyote wa voda anipatie hayo majibu ni kwanini inakuwa hivyo kama nilivyoeleza hapo juu.
2. naomba msaada wa kisheria humu namna ya kufanya ili nipate laini maana nahisi kama ni makosa kutumia visvyo vyako bila rdhaa ya mmiliki na kama ndo hivyo nifanyeje ili nimwajibishe meneja wa vodashopTarime kwa kunipotezea mda kiasi hicho?
CC Vodacom Tanzania
 
Mbona simpo tu. Kupata lain hizi ni rahisi zaidi. Unatakiwa kuwa na Tin, Lessen ya biashara na copy ya kitambulisho. Kisha Mtafute Wakala mkuu wa kampuni husika wa eneo ulilopo mfn. Doc zako ni za kinondoni then mtafute wakala wa kampuni hiyo wa kinondoni. Ukikamilisha usajili utaitwa na kupewa lini yako bure kabisa. Itachukua kam mwezi tu.
Ila ukizubaa wajanja watakula hela yako
 
Waheshimiwa sana wana jf

Naomben msaada wamawazo natak nifany hii mambo ya uwakala ila bado sijajua utaratibu wa upatikanaji wa lain za kufanyia biashara

Naomba kwa wazoefu wa kaz hiz mnipe mwanga nijue naanza wap. Asanteni
 
Waheshimiwa sana wana jf

Niomben msaada wamawazo natak nifany hii mambo ya uwakala ila bado sijajua utaratibu wa upatikanaji wa lain za kufanyia biashara

Naomba kwa wazoefu wa kaz hiz mnipe mwanga nijue naanza wap. Asanteni
Laini zipo za uhakika mwenyewe nipo na hii kitu ila nimeweka kijana
 
Back
Top Bottom