Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi nilijua peke yangu ndio nmeshangaa kumbe tupo wengi tunaoshangaa.
Halaf jamaa inaonekana hajui kabisa na wala hajawah kufanya biashara.
Milioni 2 ni mtaji mdogo sana kuweza kupata faida hata ya laki 3.
Maana kwa huo mtaji wakija wateja watatu tu kutoa pesa unaishiwa cash.
Kweli wewe ndio ujui kabisa, ipo hivi biashara ya m pesa inajizungusha usikariri wakutoa tu, kumbuka nawakuweka pia wapo so inakuwa nimtindo wakubadilishana tu. Nahata ikitokea umeishiwa cash/flot unaweza kibadilishana nawakala mwenzako mwenye uhitaji ambao hauendani nawewe
 
Mimi nilishawah kuifanya hyo biashara na sio kwamba nakisia.
Kumbuka mteja anapokuja hatakiwi kukosa huduma iwe ya kutoa au ya kuweka na huwez kumpangia mteja kwamba aje kwa ajili ya kuweka tu bali ni choice yake.
Sasa Kama wakija wateja watatu tu wa kuweka laki 3 au nne float inaisha huwez kufanya miamala ya kutosha kuweza kupata commission ya kuvuka laki 5.
Kumbuka hii biashara faida yake ni ndogo sana ila inategemea ufanye miamala mingi zaidi ndio upate faida.
Kwa hyo na ww ndio unaamini mtu mwenye mtaji wa milioni 2 anaingiza faida ya milioni 1.5 kwa mwezi?
Ingekuwa rahisi hvyo hakuna mtu angekubali vyuma vikaze.
 
Kumbuka hapo juu umesema kuwa kwamtaji wamilioni 2 awezi kupata faida ya laki 3!!!!! Mimi nipo kwenye hili game nahapa nachangia huu uzi nipo kwenye kibanda changu mtaji wangu namilioni 1 tu ila sikosi laki 3 kwamwezi
 
Kwa laki 3 inawezekana Tena iwe maeneo ya barabarani sio mtaani tu.
 
Je unaweza kupata line katika mkoa mmoja na kwenda kufanya mkoa mwingine?

Je line inaweza kukaa kwa muda gani bila kuwa active kabla haija fungwa?
 
mbu wa dengue, flulanga, radicals na wengine.

Naomba kuuliza hivi katika kila mil1 inayotoka au kuingia commission au faida yake kwa wakala anapata kiasi gani wakuu...?

Natanguliza shukran zangu kwenu.
 
Kumbuka hapo juu umesema kuwa kwamtaji wamilioni 2 awezi kupata faida ya laki 3!!!!! Mimi nipo kwenye hili game nahapa nachangia huu uzi nipo kwenye kibanda changu mtaji wangu namilioni 1 tu ila sikosi laki 3 kwamwezi
safi mkuu, mwambie huyo
 
Eeeeh Ni elfu mbili miatano au Ni elfu ishirini na tano labda umesahau sifuri moja

Mie nilikuwa najaribu kuhakikisha hizo sifuri kama zipo sahihi mpaka simu nikaiweka karibu na macho ili nihakikishe vizuri, lakini sidhani kama itakuwa ni typing error kwa kweli.
 
now ni 2500 tu

Na kiwango cha faida kwa mteja anapokuja kuweka au kutoa pesa viwango vya faida/kamisheni kwa wakala huwa ni kimoja haijalishi uwe umemtumia pesa kwenye simu yake au ametoa pesa ukampa cash, viwango vya faida kwa wakala vinakuwa ni sawa si ndio mkuu...?

Kwa hesabu hiyo unamaanisha kuwa kwenye kila 200k unayofanya muamala unaingiza 500. It means ukifanya muamala wa 10mil faida unayopata wakala ni 25,000 mkuu...?
 
Chaaaah basy hi biashara hata hailipi yaan unazungusha one million ili upate elfu mbili na miatano

Yaani faida sio hata asilimia Moja Ni chini ya asilimia moja
 
Na kiwango cha faida kwa mteja anapokuja kuweka au kutoa pesa viwango vya faida/kamisheni kwa wakala huwa ni kimoja haijalishi uwe umemtumia pesa kwenye simu yake au ametoa pesa ukampa cash, viwango vya faida kwa wakala vinakuwa ni sawa si ndio mkuu...?

Kwa hesabu hiyo unamaanisha kuwa kwenye kila 200k unayofanya muamala unaingiza 500. It means ukifanya muamala wa 10mil faida unayopata wakala ni 25,000 mkuu...?
Mkuu unapiga hesabu zawap
 
Mkuu unapiga hesabu zawap

Mkuu ndio nahitaji kueleweshwa hesabu zilizo sahihi coz nataka nifanye hii biashara kiongozi. Nimeona kwenye comments zako za nyuma kuwa nawe upo kwenye hii biashara mkuu.

Sasa nauliza kama mteja amekuja na milioni moja cash, anataka nimrushie balance kwenye simu yake then ananipa hiyo milioni. Kwa kumrushia hiyo hela mimi napata kiasi gani kwa kila milioni nitakayomuingizia mteja balance kwenye simu then yeye akanipa cash mi napata kiasi gani kama wakala as a commission/profit...?

Natanguliza shukran zangu kwako. Thanks.
 
Japo sijawahi kuifanya ila sidhani kama unapata kitu, ni kwamba unakuwa umeongeza float kwenye simu yako halafu pia unakeshi kwaajili ya kumpa mteja atakayekuja kutoa hela hapo ndipo utakapopata faida.
 
Mkuu ndio nahitaji kueleweshwa hesabu zilizo sahihi coz nataka nifanye hii biashara kiongozi. Nimeona kwenye comments zako za nyuma kuwa nawe upo kwenye hii biashara mkuu.

Sasa nauliza kama mteja amekuja na milioni moja cash, anataka nimrushie balance kwenye simu yake then ananipa hiyo milioni. Kwa kumrushia hiyo hela mimi napata kiasi gani kwa kila milioni nitakayomuingizia mteja balance kwenye simu then yeye akanipa cash mi napata kiasi gani kama wakala as a commission/profit...?

Natanguliza shukran zangu kwako. Thanks.
Unapata elfu moja namiatano (1500) hiyo unakuwa umemwekea milioni moja kwapamoja mteja mmoja
 
Kwa maana hiyo viwango havipo katika interval kwa kila hela utakayomuwekea mteja si ndio...?

Yaani natamani niendelee kukuuliza ila nahisi kama nitakuwa nakukwaza mkuu kutokana na ulivyonijibu hapo awali.
 
Back
Top Bottom