flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,860
- 6,390
Kweli wewe ndio ujui kabisa, ipo hivi biashara ya m pesa inajizungusha usikariri wakutoa tu, kumbuka nawakuweka pia wapo so inakuwa nimtindo wakubadilishana tu. Nahata ikitokea umeishiwa cash/flot unaweza kibadilishana nawakala mwenzako mwenye uhitaji ambao hauendani nawewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi nilijua peke yangu ndio nmeshangaa kumbe tupo wengi tunaoshangaa.
Halaf jamaa inaonekana hajui kabisa na wala hajawah kufanya biashara.
Milioni 2 ni mtaji mdogo sana kuweza kupata faida hata ya laki 3.
Maana kwa huo mtaji wakija wateja watatu tu kutoa pesa unaishiwa cash.