Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

Nauza laini yangu ya Tigopesa kwa 95k tu.
Nicheck hapa 0765042806
 
Naomben maoni kuhusu biashara ya wakala wa pesa kama Tigo Pesa n.k
 
Niko Dodoma. Nilienda hizo sehemu Ijumaa
Airtel
1. Tin 2. Leseni 3. Id 4. Flot 200,000
5. 10,000 Lawyer (3 Weeks)

MPesa
1. Tin 2. Leseni 3. Id 4. Flot 500,000
(4 Weeks)

Halotel
1. Tin 2. Leseni 3. Id 4. Flot 100,000
5. 15,000 Lawyer (3 Days)

Tigo Pesa
1. Tin 2. Lesen 3. Id 4. Flot 400,000 (lakini maongezi yapo pia)
5. 5,000 Lawyer (3 Weeks)

Plus passport pictures
 
Mkuu umeandika kama algorithm fulani kwa mtu layman haelewei kitu. Tin 2 ni nini sasa?
 
..m .mn . . ...... .
.
....
.
.
.
....nnn . .n. .
mnn.nn....................................................................................................................................................................
1 tin
2. Lesen
3.
4
Bad hujaelewa
 
..m .mn . . ...... .
.
....
.
.
.
....nnn . .n. .
mnn.nn....................................................................................................................................................................
Mkuu! Nini tena hiki?
 
Unahitaji leseni ya biashara, kitambulisho cha nida, TIN ya mlipa kodi, namba ya kawaida iliyosajiliwa kwa jina lako. Fika ofisi za vodacom ukiwa na nakala za hizo document.
Vipi pesa ya kuweka kwenye hiyo line unawalipa wakati umeenda na hizo documents au? MAMESHO
 
Back
Top Bottom