Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

Useful post maana imekuwa na maelezo tofauti toka hata kwa mafundi
 
Dah! Hii thread imenichanganya kabisaaa!

Kuna baadhi waliyoandika mi nilikuwa najua kinyume chake. Hebu ngoja niendelee kupata mauzoefu hapa kwa magriit thinkaz.
 
Kwa uelewa wangu wa kutumia gari za auto kwa muda marefu ni kuwa overdrive ina tumuka kuaccerelate gari mfano wakati wa kuovertake au umeshuka mlima na 130 unataka kupanda kilima kingine labda na 100 hivi ndo inaiweka na kweli spidi haitafika hata chini ya mia ila ukiwa tambarare na viinuko vidogo ni vema ukazima overdrive ili gear zote 5 ziwe engaged, so overdrive ni kama turbo kwenye magari yasiyo na turbo yaani huipa nguvu gari ila si ya kutumia wakati wote, kwa wali ambao magari yao hayana overdrivr ni vema ku overtake kwa kuweka namba 2 ili usije kutana na gari mbele inakuwa fsta kuliko kawaida ila rudisha D haraka ukishalipita gari la mbele.
 
Mimi ngalangala langu halina kitufe cha overdrive kabisa kwahiyo naendesha nikiwa over drive OFF au ON?? naomba jibu bila kunikorofisha
 
Dah! Hii thread imenichanganya kabisaaa!

Kuna baadhi waliyoandika mi nilikuwa najua kinyume chake. Hebu ngoja niendelee kupata mauzoefu hapa kwa magriit thinkaz.

ODM mzima wewe na mie ilikuwa hivyo sasa na ushauri nilipata kwa jamaa mmoja kumbe alikuwa naye hajui angalau napata kariufundi hapa
 
Mimi ngalangala langu halina kitufe cha overdrive kabisa kwahiyo naendesha nikiwa over drive OFF au ON?? naomba jibu bila kunikorofisha
Hahahaha! mbavu zangu!

Sasa kama halina maana yake ni kuwa halipo a.k.a OFF.... ngoja tusubiri wajuvi.
 
jamani kama ni rafu road kuna umuhimu wa kutumia od?
 
ODM mzima wewe na mie ilikuwa hivyo sasa na ushauri nilipata kwa jamaa mmoja kumbe alikuwa naye hajui angalau napata kariufundi hapa

Hahaha....

Mzima bana. Haya mambo bana, kila mtu ana ujuzi wake. Ngoja tutapata hitimisho wataalam wakikonkludi.

Si unajua: Jogoo koko huwezi kumjua mpaka aanze kuwika
 
Nijuavyo mimi,
Ukiwa unaendesha Less than 80km/per hour let the over drive be off- Taa inawaka kwenye dashboard( OD OFF)
Over 80km/hr let the over drive be on. Wakati huo Taa yenye maandishi (OD OFF) kwenye dashboard huwa haiwaki

Kuhusu kula mafuta ni hivi.
RPM ikiwa above 2.5 gari inakula mafuta. Kama unaendesha gari iki OD OFF na uko speed above 80km/hr rpm lazima iende zaidi ya 2.5. hivyo kuashiria kula mafuta.

Ukitaka kujaribu weka OD OFF then icrease your speed to 100km/hr the look at the rpm. wakati ikiwa kwenye mwendo huo press button ya OD the look at the rpm. utaona itashuka ghafla na gari inaongeza speed. (NOT APPLICABLE FO DAR RESIDENTS).
 
Mimi ngalangala langu halina kitufe cha overdrive kabisa kwahiyo naendesha nikiwa over drive OFF au ON?? naomba jibu bila kunikorofisha

Lazima hilo ni manual.

Kama ni auto lazima hicho kitufe kiwepo. may be pembeni ya kichwa cha gear au kwenye kichwa cha gear.
 
Over Drive is normally used at a high speed. If you drive at a high speed e.g. 80kph upwards and you don't engage your OD you will notice how the engine is troubled and drive uncomfortably and this may result to overheating the engine. The same you may notice that by driving at a low speed while engaging the OD the movement of the vehicle becomes difficult. Therefore use your OD at a high speed and dis-angage the OD at a low speed say 0 - 60 or 70.
 
Nimekupata vema:nono:
 
aaaah ! Sasa nyie mmenikoroga kabisa ! Nikiwa sijabonyeza buton, gari iko kawaida tu, lakini nikiweka OD OFF gari ni nyepesi na inaondoka ile mbaya, ila rpm inakuwa juu. Sasa wakati gani niitumie?
 
Dah aksanteni wadau ila hapa inabidi niweke gari yangu full tank nichukue readings ikiwa od off thn niikaushe thn niifull again niiweke od on niangalie tena readings, nitarudi kwenu nikiwa na majibu sahihi
 
Nashukuru nami japo nimepata kuelewa hii kitu
 
hvyo ukitaka matumizi mazuri ya mafuta ni vyema od iwe on?
 
Hahaha....

Mzima bana. Haya mambo bana, kila mtu ana ujuzi wake. Ngoja tutapata hitimisho wataalam wakikonkludi.

Si unajua: Jogoo koko huwezi kumjua mpaka aanze kuwika

hahahahaha
ndio shida ya kupata elimu za vichochoroni a.k.a za kata
hapa wataalam kibao najua tutapata jibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…