Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Hii thread imenichanganya kabisaaa!
Kuna baadhi waliyoandika mi nilikuwa najua kinyume chake. Hebu ngoja niendelee kupata mauzoefu hapa kwa magriit thinkaz.
Hahahaha! mbavu zangu!Mimi ngalangala langu halina kitufe cha overdrive kabisa kwahiyo naendesha nikiwa over drive OFF au ON?? naomba jibu bila kunikorofisha
ODM mzima wewe na mie ilikuwa hivyo sasa na ushauri nilipata kwa jamaa mmoja kumbe alikuwa naye hajui angalau napata kariufundi hapa
Mimi ngalangala langu halina kitufe cha overdrive kabisa kwahiyo naendesha nikiwa over drive OFF au ON?? naomba jibu bila kunikorofisha
Inapendekezwa kama upo mjini iwe off kwa sababu huwezi kupita 80kph, na kwenye miteremko mikali kama sekenke,wami na kitonga ni vyema ukashuka na od ikiwa off. Vile vile kwenye sehemu korofi ie tope na mchanga. Faida inakuja kama uko kwenye safari ndefu maana utaipata gia ya tano na fuel consumption itapungua gari inakuwa nyepesi.
aaaah ! Sasa nyie mmenikoroga kabisa ! Nikiwa sijabonyeza buton, gari iko kawaida tu, lakini nikiweka OD OFF gari ni nyepesi na inaondoka ile mbaya, ila rpm inakuwa juu. Sasa wakati gani niitumie?Nijuavyo mimi,
Ukiwa unaendesha Less than 80km/per hour let the over drive be off- Taa inawaka kwenye dashboard( OD OFF)
Over 80km/hr let the over drive be on. Wakati huo Taa yenye maandishi (OD OFF) kwenye dashboard huwa haiwaki
Kuhusu kula mafuta ni hivi.
RPM ikiwa above 2.5 gari inakula mafuta. Kama unaendesha gari iki OD OFF na uko speed above 80km/hr rpm lazima iende zaidi ya 2.5. hivyo kuashiria kula mafuta.
Ukitaka kujaribu weka OD OFF then icrease your speed to 100km/hr the look at the rpm. wakati ikiwa kwenye mwendo huo press button ya OD the look at the rpm. utaona itashuka ghafla na gari inaongeza speed. (NOT APPLICABLE FO DAR RESIDENTS).
Hahaha....
Mzima bana. Haya mambo bana, kila mtu ana ujuzi wake. Ngoja tutapata hitimisho wataalam wakikonkludi.
Si unajua: Jogoo koko huwezi kumjua mpaka aanze kuwika