Fahamu kuhusu muigizaji N!xau maarufu kama Bushman

21fd50d39cf621ec2d24d2ea4fa4a1e5.jpg

Kako wapi haka kabebi

Nilikapenda sana
Huyu hapa
GBWA-20190325104908.jpeg

"utamu wa uji ni kutingisha bakuli"
 
Inaendelea..
Kafariki mwaka 2003 alizikwa pembeni ya kaburi la make wake was pili. Wale watoto wawili hawafahamiki walipo wala familia zao hazijulikani. Hakuna picha zao tufauti Na zile walizopiga wakiwa wanaigiza
Sidhani kama hii ni kweli...
 
Sio kweli mkuu kuna picha nimeona ya Yule mtoto
Inaendelea..
Kafariki mwaka 2003 alizikwa pembeni ya kaburi la make wake was pili. Wale watoto wawili hawafahamiki walipo wala familia zao hazijulikani. Hakuna picha zao tufauti Na zile walizopiga wakiwa wanaigiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu yule muigizaji wa muvi za gods must be crazy alishakufa au bado yu hai,kama kafa ni mwaka gani? Na ningependa kujua jina lake la kweli na historia yake kiujumla
 
Aliita Xi, alishafariki
 
Hilo kabila nalijua niliwahi kufika mpk kwenye eneo lao tulipeleka msaada wa kompyuta na solar powe kwenye shule moja huko na tulipokewa na ngoma yao moja nzuri sana mkoa ulikuwa unaitwa Gobabis Namibia
 
Back
Top Bottom