Bwana Mrefu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 408
- 996
Huyu hapa![]()
Kako wapi haka kabebi
Nilikapenda sana
"utamu wa uji ni kutingisha bakuli"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu hapa![]()
Kako wapi haka kabebi
Nilikapenda sana
Thanks
Sidhani kama hii ni kweli...Inaendelea..
Kafariki mwaka 2003 alizikwa pembeni ya kaburi la make wake was pili. Wale watoto wawili hawafahamiki walipo wala familia zao hazijulikani. Hakuna picha zao tufauti Na zile walizopiga wakiwa wanaigiza
Inaendelea..
Kafariki mwaka 2003 alizikwa pembeni ya kaburi la make wake was pili. Wale watoto wawili hawafahamiki walipo wala familia zao hazijulikani. Hakuna picha zao tufauti Na zile walizopiga wakiwa wanaigiza
Weka picha zaoKuna wacheza movi za bongo tena mastar hawajawahi kushika dola 3000 kuptia usanii wao labda wadange au wauze mdwa.
Aliita Xi, alishafarikiWakuu yule muigizaji wa muvi za gods must be crazy alishakufa au bado yu hai,kama kafa ni mwaka gani? Na ningependa kujua jina lake la kweli na historia yake kiujumla
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbona ndiye katibu mwenezi wa CCM pale Lumumba.
Mbona ndiye katibu mwenezi wa CCM pale Lumumba.
Hauko peke yako ndugu😁Napenda sana filamu zake na naziangalia mpk leo
Mkuu ni MahindiMaindi
HahaaaqMbona ndiye katibu mwenezi wa CCM pale Lumumba.
🤣🤣🤣🤣Moja kati ya watoto wake ni USHER RAYMOND"BUSHMAN"