Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Hiyo ilikuwa Kisbo ya KahamaMimi sio mtaalamu wa magari ila kuna bus linaitwa kisbo safari, nimekuwa nikilisia sana humu Jf kuwa linatembea sana.
Mwezi uliopita nikiwa dodoma pale maeneo ya unapotaka kujengwa uwanjani barabarani, nikapishana na bus za KISBO SAFARI mbili.
Moja ilikuwa saa 7 na dakika 8, na ikawa inatembea taratibu. Nikasema hii bus inawezaje kwa sasa mambo ya tochi barabarani kufika Dodoma saa 7?
Ilipofika 7:30 ikapita KISBO ya pili, hapa nilichoka saana, nikasema hawa jamaa ni hatari.
Yaani hata zile gari za Dodoma kutoka Dar bado haziingii muda huo kwa saa 7 kamili kuwa Dodoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
VOLVO cheki MAJINJAH anazoIle kauli mbiu ya Scania, when I grow up I want to be a scania.
Hivi hua naona mabasi ya Volvo,Actros na mengine huko ulaya kwenye tv ila mbona bongo siyaoni?
Mkuu,wewe Ni dereva bodaboda?Tofauti kati ya Scania na Mchina ni kama hiiView attachment 1357876View attachment 1357878
Sent using Jamii Forums mobile app
Inatokea Dar ama?Hiyo ilikuwa Kisbo ya Kahama
Hizi pesa hua zinarudi na faida juu, Mwezi wa nne Dar express analeta Scania G7 Paradisso inayouzwa zaidi ya 1.2billion tzs atakua ni mtu wa kwanza Tanzania kumiliki pia ukiangalia kipindi cha nyuma alikua mtu wa kwanza kuleta Irizar Century, G7 na sasa analeta hizo Paradisso
Hahahahahahaha first classKiwango chako cha ujinga ni first class.
Unaambiwa ubora wa magari wewe unaleta habari za mauzo. Kuuzwa sana haimaanishi bidhaa ni bora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo tecno hapa nyumban n bora Zaid ?Mjinga mama yako, determining factors za mauzo ni nn?
Ukiona kitu kinauzwa sana jua ni bora pumbaf
Sent using Jamii Forums mobile app
Upendo ana higer namba CSF, namba A mchina alikuwa hajashika sokoAbood na Kilimanjaro bado wanascania za namba A, tafuta Gari ya mchina yenye namba hata C inayotembea kwenda route ndefu kama Dar to Mbeya, Kahama, Songea au Mwanza.
Kisbo bombastic ilijaribu kuja mbeya, kipigo ilichopata kutoka kwa Golden deer ni hatar.Mimi sio mtaalamu wa magari ila kuna bus linaitwa kisbo safari, nimekuwa nikilisia sana humu Jf kuwa linatembea sana.
Mwezi uliopita nikiwa dodoma pale maeneo ya unapotaka kujengwa uwanjani barabarani, nikapishana na bus za KISBO SAFARI mbili.
Moja ilikuwa saa 7 na dakika 8, na ikawa inatembea taratibu. Nikasema hii bus inawezaje kwa sasa mambo ya tochi barabarani kufika Dodoma saa 7?
Ilipofika 7:30 ikapita KISBO ya pili, hapa nilichoka saana, nikasema hawa jamaa ni hatari.
Yaani hata zile gari za Dodoma kutoka Dar bado haziingii muda huo kwa saa 7 kamili kuwa Dodoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upendo zinafia njiani kila Mara, kama unatumia sana barabara ya Iringa-Dar utakuwa shuhuda, hata mabasi yake hayakimbiiUpendo ana higer namba CSF, namba A mchina alikuwa hajashika soko
Sent using Jamii Forums mobile app
Walikosa wateja, hawakupata kipigo hafu Kisbo alizoleta Mbeya zimechoka na zinsiti za 2*3 Mbeya hawawezi kupanda gari za hivyoKisbo bombastic ilijaribu kuja mbeya, kipigo ilichopata kutoka kwa Golden deer ni hatar.
Waliamua kukimbia route ya kiume wakarud kwenye route ya kike ya mwanza na kahama
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbeya ilikuja kisbo bombastic ambayo ndo inaamika kampun nzimaWalikosa wateja, hawakupata kipigo hafu Kisbo alizoleta Mbeya zimechoka na zinsiti za 2*3 Mbeya hawawezi kupanda gari za hivyo
Kisbo aache kupeleka Bus zuri Kahama au Mwanza alete Mbeya, ulipewa stori za mtaani tu nilikuwa naziona zile Kisbo zilikuwa za kawaida tu. Hafu ujue kuwa Golden deer za Mbeya hazina madereva wazuri ungesema za Tunduma sawa, hizo za Mbeya hata Rungwe anazichapaMbeya ilikuja kisbo bombastic ambayo ndo inaamika kampun nzima
Ilikula kichapo cha paka mwizi kutoka kwa wataalam wa GOLDEN DEER
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka sauli kaleta gari zake hizo Golden dear sijaona kushindana nae. Sema mleta mada kakurupukaUnaandika kwa nyodo kumbe hujui kitu
Gari za mbeya kufika saa 1 sio jambo jipya, Golden deer huwa zinafika saa 12:30 mara kibao tu
Al saedy sio scania, ana sunlong,yutong na golden dragon na hiyo Imani plus sio higer ni Asiastar
Siku nyingine fanya research kabla hujaandika utumbo wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kunambia hawa akina New Force wanamburuza Kisbo?Kisbo bombastic ilijaribu kuja mbeya, kipigo ilichopata kutoka kwa Golden deer ni hatar.
Waliamua kukimbia route ya kiume wakarud kwenye route ya kike ya mwanza na kahama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye kukosa wateja naweza nikakubali, hawa KISBO nilikuwa nawasikia tu.Walikosa wateja, hawakupata kipigo hafu Kisbo alizoleta Mbeya zimechoka na zinsiti za 2*3 Mbeya hawawezi kupanda gari za hivyo