Fahamu kuhusu Scania Buses VS Yutong, Kinglong, Zhongtong, Higer, Golden Dragon, Sunlong Buses

Fahamu kuhusu Scania Buses VS Yutong, Kinglong, Zhongtong, Higer, Golden Dragon, Sunlong Buses

Mimi sio mtaalamu wa magari ila kuna bus linaitwa kisbo safari, nimekuwa nikilisia sana humu Jf kuwa linatembea sana.

Mwezi uliopita nikiwa dodoma pale maeneo ya unapotaka kujengwa uwanjani barabarani, nikapishana na bus za KISBO SAFARI mbili.

Moja ilikuwa saa 7 na dakika 8, na ikawa inatembea taratibu. Nikasema hii bus inawezaje kwa sasa mambo ya tochi barabarani kufika Dodoma saa 7?

Ilipofika 7:30 ikapita KISBO ya pili, hapa nilichoka saana, nikasema hawa jamaa ni hatari.

Yaani hata zile gari za Dodoma kutoka Dar bado haziingii muda huo kwa saa 7 kamili kuwa Dodoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ilikuwa Kisbo ya Kahama
 
Hizi pesa hua zinarudi na faida juu, Mwezi wa nne Dar express analeta Scania G7 Paradisso inayouzwa zaidi ya 1.2billion tzs atakua ni mtu wa kwanza Tanzania kumiliki pia ukiangalia kipindi cha nyuma alikua mtu wa kwanza kuleta Irizar Century, G7 na sasa analeta hizo Paradisso

Kapicha ka hiyo paradisso tafadhari
 
Mimi sio mtaalamu wa magari ila kuna bus linaitwa kisbo safari, nimekuwa nikilisia sana humu Jf kuwa linatembea sana.

Mwezi uliopita nikiwa dodoma pale maeneo ya unapotaka kujengwa uwanjani barabarani, nikapishana na bus za KISBO SAFARI mbili.

Moja ilikuwa saa 7 na dakika 8, na ikawa inatembea taratibu. Nikasema hii bus inawezaje kwa sasa mambo ya tochi barabarani kufika Dodoma saa 7?

Ilipofika 7:30 ikapita KISBO ya pili, hapa nilichoka saana, nikasema hawa jamaa ni hatari.

Yaani hata zile gari za Dodoma kutoka Dar bado haziingii muda huo kwa saa 7 kamili kuwa Dodoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kisbo bombastic ilijaribu kuja mbeya, kipigo ilichopata kutoka kwa Golden deer ni hatar.

Waliamua kukimbia route ya kiume wakarud kwenye route ya kike ya mwanza na kahama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv hii pamba ni aina gani ya basi?
FB_IMG_1568747004642.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisbo bombastic ilijaribu kuja mbeya, kipigo ilichopata kutoka kwa Golden deer ni hatar.

Waliamua kukimbia route ya kiume wakarud kwenye route ya kike ya mwanza na kahama

Sent using Jamii Forums mobile app
Walikosa wateja, hawakupata kipigo hafu Kisbo alizoleta Mbeya zimechoka na zinsiti za 2*3 Mbeya hawawezi kupanda gari za hivyo
 
Mbeya ilikuja kisbo bombastic ambayo ndo inaamika kampun nzima

Ilikula kichapo cha paka mwizi kutoka kwa wataalam wa GOLDEN DEER

Sent using Jamii Forums mobile app
Kisbo aache kupeleka Bus zuri Kahama au Mwanza alete Mbeya, ulipewa stori za mtaani tu nilikuwa naziona zile Kisbo zilikuwa za kawaida tu. Hafu ujue kuwa Golden deer za Mbeya hazina madereva wazuri ungesema za Tunduma sawa, hizo za Mbeya hata Rungwe anazichapa
 
Unaandika kwa nyodo kumbe hujui kitu

Gari za mbeya kufika saa 1 sio jambo jipya, Golden deer huwa zinafika saa 12:30 mara kibao tu

Al saedy sio scania, ana sunlong,yutong na golden dragon na hiyo Imani plus sio higer ni Asiastar

Siku nyingine fanya research kabla hujaandika utumbo wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Toka sauli kaleta gari zake hizo Golden dear sijaona kushindana nae. Sema mleta mada kakurupuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom