Fahamu kuhusu Scania Buses VS Yutong, Kinglong, Zhongtong, Higer, Golden Dragon, Sunlong Buses

yana mda gani hapa nchini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo body zimetengenezwa na Marcopolo na kufungwa injini ya Tata zinaitwa Tata Magma.

Bus za Isuzu,Nissan Diesel zilifanya vizuri na mpaka leo Raha Leo anazo Isuzu na Tawakal naye anatumia Isuzu.
Saizi watu wanachukua basi za mchina sababu ya bei nafuu na machaguo ya vitu vya luxury ndani ya basi kama siti,tv, chaja na friji.
 
Hivi wa kwanza kuleta Yutong bongo sio Golden Intercity? Zilikuwa nyeupe zina engine nyuma route ya Dar-Mwanza na walikuwa wana operate wachina wenyewe
 
Hizi tata hakuna inayopiga safari ndefu mpaka sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ya Sauli ni legroom ni ndogo sana..
Na Sauli si kuwa anatembea sana zaidi ya Wengine ila Yeye ana violate sheria sana. Mfano sehem ya kutembea 50kmp yeye ni 80kmh.
Pia wanaposimamishwa na traffic police hawasimami.
Sasa Wengine kwenye 50kmh hutembea hiyo hiyo
 
Mkuu hili ni jukwaa hata hapa unaweza elezea vizur tu mana huu ni uzi mpya , hiyo ya kusema ulielezea torque mwaka 2014 haina tija sana kwa baadhi ya wasomaji,
Kujifunza tunajifunza kila siku .
Soma post zangu za zaman utaona nikielezea vizur torque versus hp miaka ya 2014...leo hii useme sjui hp na torque


Ni kingereza hujaelewa au em soma hapo ulipoquote uelewe mbona tayari nimeelezea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwa sisi watu warefu kupanda basi la kichina nimtihani mzito kwelii maana mpk ufike hayo magoti yatakuwa yamechubuka balaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nissan Diesel ni hatari. Umenikumbusha mabasi ya zamani kama Taofiq, Taqwa, Tawaqali na Simba Mtoto.
 
Upendo inayotoka Mafinga SAA 1 asbh inafika dar saa 2usiku?
GRi mbovu kabisa
 
Upendo inayotoka Mafinga SAA 1 asbh inafika dar saa 2usiku?
GRi mbovu kabisa
 
Upendo inayotoka Mafinga SAA 1 asbh inafika dar saa 2usiku?
GRi mbovu kabisa
Upendo Traveller na Budget za Dar-Mbeya zilikuwa zinakimbiza Sana miaka ya 2009, zilikuwa Moja wapo iwahi kufika Mapema.

Njiani zilitamba Kwa mbio, mpaka kuna kisa kimoja dereva alipigwa na abiria gari ilikuwa inatoka Mbeya kwenda Dar.
 
engine ya Cummin ufanisi wake ni mdogo ukilinganisha na sacania na ndo maana sauli anawakimbiza gari za mchina kwenda juu kusini
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…