Fahamu kuhusu vibali vya ujenzi, umuhimu wake na namna ya kuvipata

Fahamu kuhusu vibali vya ujenzi, umuhimu wake na namna ya kuvipata

Mlolongo ni mreefu mno!...Kusoma tu hayo maelezo yanachosha; Je kufuatilia itakuwaje?
Uaratibu wa hovyo haupo kumsaidia mwananchi Bali kumnyonya!

SITAKI KIBALI CHA HIVI MIMI; NITANUNUA KONTENA NILALE
Utaliweka wapi? kiwanja lazima kilipiwe kiwe na hati!! Kazi kwelikweli
 
Ukishakuwa kwenye sekta hizi lazima ujue madhara yake kwa hiyo tunafuata taratibu zote

Unaweza kuwa ni mmoja kati ya 10 au 100 lakini professionals wengi ndiyo namba moja kukiuka sheria na kanuni eg joka la makengeza kwenye sakata la rada, ndugu yai alivyompiga na gongo mtia nia mwenzake, wale wengine wa escrow, walimu nao wanakula urefu wa kamba si kwamba hawajui sheria....
 
Katika sekta ya ardhi mara nyingi tunafuata sheria
 
🤔🤨😐
Bila Shaka Asilimia 90 Hatujafuata Huo Utaratibu, Nadhani Serikali Inayajua Yote Haya
 
Ila nyumba nyingi zinajengwa bila hivyo vibali
 
Tatizo ukikutwa ndio utajua raha na starehe vinatengana walishe tu wenzio matango pori tuwakute
Nadhani mtendaji hiyo anayochukua ni rushwa sasa tukukute unajenga bila kibari faini yake utakimbia
Tutafute sisi tukusaidie kukipata kwa haraka ili ujenge nyumba yako bila wasiwasi
Wewe jàmaa ni njaaa Sana kumbe ni walewale Kama dalali tu kuzurura mitaani kutafuta Nani anaejenga Bila kibali alafu unakimbilia manisspa unakuja na wale afisa wa ujenzi mwenye njaa hadi kwenye kope.mwanaume wewe pambana kuijengea misingi familia yako acha kuangaika na watu wanaopambana kuwekea familia zao future.
 
maelezo ndio yamechambuliwa kwa urefu lakin kiuhalisia sio mrefu mana ramani unakuwa unazo na ndio maana sisi kama kampuni tupo kusaidia kwa wale ambao watakuwa busy na majukumu mengine

Ada yenu ni bei gani kwa ufuatiliaji??
 
Shida malipo ni makubwa mno. Kiwanja ununue mwenyewe kujenga ujenge mwenyewe kwa jasho lako halafu kupata ruhusa tuu ya kujenga hela kibaaooo
Malipo siyo makubwa,,,Me nlikipata kwa 30 elfu.
 
Back
Top Bottom