Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha ujinga; kama umeshahamia usiwaze, hiyo barua ichane endelea na shughuli zako, vinginevyo labda kama kuna ujenzi unaendelea, lakini kama umeshahamia, na hakuna ujenzi wewe chana hiyo barua endelea na shughuli zako!
Utaratibu Wa kibari cha ujenzi maeneo ya skwata ulikuwa na lengo zuri sana; ambalo lilikuwa ni kupunguza migogoro ya ardhi, lakini utekelezaji wake umekuwa kinyume na imegeuka kero!
1. Unatakiwa kuaandaa ramani architectural drawing inayoonesha view zote ikiwemo site plan zilizogongwa mihuri ya architect, hii gharama hufikia hadi 400000~600000/= kwa nyumba za kawaida
2. Utatakiwa kuwa na nakala tatu, ukiambatanisha na hati ya kiwanja na barua kutoka see/ mtaa
3. Gharama za kuwapeleka site hao jamaa bila kuwatoa hawaji, na kama wakija lazima watafte kasoro mfano; uwepo Wa njia,ushahidi wawakute majilani site yaani waache kwenda job kwa ajili yako.
4. Utapaswa ulipie kibali wanachaji kwa square meta makadirio nyumba nyingi 88000~150000/=
HIYO MILOLONGO UKICHUMLISHA INAKATISHA TAMAA! Ilitakiwa mwanachi achangie malipo yasiyozidi 20000/=
CHA AJABU KULIKO VYOTE, Gari la kuja kufanya savei wanakujibu halina mafuta, lakini ukijenga bila kibali huwa wanakuja fasta sijui huwa wanapata wapi mafuta!
USHAURI WANGU CHANA HIYO BARUA ACHANA NAO HAWANA CHA KUKUFANYA USHAJENGA IMETOKA HIYO
Amesema mwenyewe hakuwa na kibali cha ujenzi.Ni Matapeli tu hao Mkuu, wametanda karibu maeneo yote yenye Makazi mapya, iwasikuvunje Nguvu wala kukukatisha tamaa...!
Kwa uhakika zaidi jaribu kutembelea ofisi za Ardhi, mfano Manispaa na idara nyingine kama Serikali za Mtaa, kwa taarifa zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani barua haina nembo ya manispaa, nenda hii tabia ya kudharau wito ni hatari sana hujafanya kosa la jinai nenda kajieleze utapigwa faini yataisha mm kijenga tu uzio wa ploto zilinitoka zakutoshaUkifanya mchezo watapiga X,Nenda mkaelewane vizuri ulipe hizo penati na gharama watakazokutajia.Hakikisha unalipa reasonable cost siyo wakupige mikwala
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao mbuzi wapiga X kujifurahisha tu. Hawavunji nyumba ya mtu. Muulize Lukuvi au kama una mtu ikulu mwambie akuulizie kwa.Ukifanya mchezo watapiga X,Nenda mkaelewane vizuri ulipe hizo penati na gharama watakazokutajia.Hakikisha unalipa reasonable cost siyo wakupige mikwala
Sent using Jamii Forums mobile app
Inatakiwa uwafuate sio wakufuate. Idea ni nzuri ila utekelezaji, rushwa na uzembe wao unaleta kero, theoretically inabidi uende kabla wakushauri usije jenga kumbe unatumia njia za kuleta maafa au kero kwa eneo husika, kwahio wanategea uanze wakuombe rushwa, ushauri aulize majirani zake kama wana permit na walitoa ngapi kupata idea.Hapo kinatakiwa kibali cha kuhamia au kibali cha ujenzi? Walikua wapi kipindi unajenga?
Hizi chuku zingine wanajitafutia tu. Kama kweli wako makini na ni utaratibu ambao uko kwa wote, walitakiwa tokea mwanzo wakuombe au kukutaka uweke kibali cha ujenzi.
Inatakiwa uwafuate sio wakufuate. Idea ni nzuri ila utekelezaji, rushwa na uzembe wao unaleta kero, theoretically inabidi uende kabla wakushauri usije jenga kumbe unatumia njia za kuleta maafa au kero kwa eneo husika, kwahio wanategea uanze wakuombe rushwa. Ushauri aulize majirani zake kama wana permit na walitoa ngapi kupata idea
Mtafute mjumbe na mwenyekiti wa CCM hapo unapoishi watakusaidia pa kuanziaAcha ujinga; kama umeshahamia usiwaze, hiyo barua ichane endelea na shughuli zako, vinginevyo labda kama kuna ujenzi unaendelea, lakini kama umeshahamia, na hakuna ujenzi wewe chana hiyo barua endelea na shughuli zako!
Utaratibu Wa kibari cha ujenzi maeneo ya skwata ulikuwa na lengo zuri sana; ambalo lilikuwa ni kupunguza migogoro ya ardhi, lakini utekelezaji wake umekuwa kinyume na imegeuka kero!
1. Unatakiwa kuaandaa ramani architectural drawing inayoonesha view zote ikiwemo site plan zilizogongwa mihuri ya architect, hii gharama hufikia hadi 400000~600000/= kwa nyumba za kawaida
2. Utatakiwa kuwa na nakala tatu, ukiambatanisha na hati ya kiwanja na barua kutoka see/ mtaa
3. Gharama za kuwapeleka site hao jamaa bila kuwatoa hawaji, na kama wakija lazima watafte kasoro mfano; uwepo Wa njia,ushahidi wawakute majilani site yaani waache kwenda job kwa ajili yako.
4. Utapaswa ulipie kibali wanachaji kwa square meta makadirio nyumba nyingi 88000~150000/=
HIYO MILOLONGO UKICHUMLISHA INAKATISHA TAMAA! Ilitakiwa mwanachi achangie malipo yasiyozidi 20000/=
CHA AJABU KULIKO VYOTE, Gari la kuja kufanya savei wanakujibu halina mafuta, lakini ukijenga bila kibali huwa wanakuja fasta sijui huwa wanapata wapi mafuta!
USHAURI WANGU CHANA HIYO BARUA ACHANA NAO HAWANA CHA KUKUFANYA USHAJENGA IMETOKA HIYO
Acha ujinga; kama umeshahamia usiwaze, hiyo barua ichane endelea na shughuli zako, vinginevyo labda kama kuna ujenzi unaendelea, lakini kama umeshahamia, na hakuna ujenzi wewe chana hiyo barua endelea na shughuli zako!
Utaratibu Wa kibari cha ujenzi maeneo ya skwata ulikuwa na lengo zuri sana; ambalo lilikuwa ni kupunguza migogoro ya ardhi, lakini utekelezaji wake umekuwa kinyume na imegeuka kero!
1. Unatakiwa kuaandaa ramani architectural drawing inayoonesha view zote ikiwemo site plan zilizogongwa mihuri ya architect, hii gharama hufikia hadi 400000~600000/= kwa nyumba za kawaida
2. Utatakiwa kuwa na nakala tatu, ukiambatanisha na hati ya kiwanja na barua kutoka see/ mtaa
3. Gharama za kuwapeleka site hao jamaa bila kuwatoa hawaji, na kama wakija lazima watafte kasoro mfano; uwepo Wa njia,ushahidi wawakute majilani site yaani waache kwenda job kwa ajili yako.
4. Utapaswa ulipie kibali wanachaji kwa square meta makadirio nyumba nyingi 88000~150000/=
HIYO MILOLONGO UKICHUMLISHA INAKATISHA TAMAA! Ilitakiwa mwanachi achangie malipo yasiyozidi 20000/=
CHA AJABU KULIKO VYOTE, Gari la kuja kufanya savei wanakujibu halina mafuta, lakini ukijenga bila kibali huwa wanakuja fasta sijui huwa wanapata wapi mafuta!
USHAURI WANGU CHANA HIYO BARUA ACHANA NAO HAWANA CHA KUKUFANYA USHAJENGA IMETOKA HIYO
Kuwa makini kuna utapeli ukihusisha baadhi ya maafisa wasio waaminifu. Wangapi wamejenga bila hivyo vibali nchi hii, ukiamsha hili si unataka balaa?
Hao wametengeneza mfumo wa kupiga wageni wanaohamia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeandika kila kitu sawa la ushauri wako sio mzuri. Jamaa kapewa notice according to regulations za ujenzi hapo ni kama mtego tu wana msikilizia tu afanye kama unavyomshauri steps zingine zitafata.
Kujenga bila kibali cha ujenzi kinaweza kukusababishia nyumba yako kubomolewa kwendana na building regulations.
Kushindana na authority sio jambo jema.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hilo zoezi la kua na Building Permit ndio limeanza sasa, hapa majirani zangu hakuna mwenye hiyo permit ila naona wameziangalia nyumba mpya tu kama ni ya zamani hawatoi hiyo notice, nitakwenda nijue.Inatakiwa uwafuate sio wakufuate. Idea ni nzuri ila utekelezaji, rushwa na uzembe wao unaleta kero, theoretically inabidi uende kabla wakushauri usije jenga kumbe unatumia njia za kuleta maafa au kero kwa eneo husika, kwahio wanategea uanze wakuombe rushwa. Ushauri aulize majirani zake kama wana permit na walitoa ngapi kupata idea