Utaliweka wapi? kiwanja lazima kilipiwe kiwe na hati!! Kazi kwelikweliMlolongo ni mreefu mno!...Kusoma tu hayo maelezo yanachosha; Je kufuatilia itakuwaje?
Uaratibu wa hovyo haupo kumsaidia mwananchi Bali kumnyonya!
SITAKI KIBALI CHA HIVI MIMI; NITANUNUA KONTENA NILALE
Ukishakuwa kwenye sekta hizi lazima ujue madhara yake kwa hiyo tunafuata taratibu zote
Tatizo ukikutwa ndio utajua raha na starehe vinatengana walishe tu wenzio matango pori tuwakuteWatanzania wengi wameshajenga bila vibali tunaona miaka nenda rudi wanaishi raha mstarehe
Swali zuriUtaliweka wapi? kiwanja lazima kilipiwe kiwe na hati!! Kazi kwelikweli
Katika sekta ya ardhi mara nyingi tunafuata sheriaUnaweza kuwa ni mmoja kati ya 10 au 100 lakini professionals wengi ndiyo namba moja kukiuka sheria na kanuni eg joka la makengeza kwenye sakata la rada, ndugu yai alivyompiga na gongo mtia nia mwenzake, wale wengine wa escrow, walimu nao wanakula urefu wa kamba si kwamba hawajui sheria....
Nadhani mtendaji hiyo anayochukua ni rushwa sasa tukukute unajenga bila kibari faini yake utakimbiaRushwa mmezidi ndomana watu wnamalizana kwa mtendaji tu
Ova
Tutafute sisi tukusaidie kukipata kwa haraka ili ujenge nyumba yako bila wasiwasiIshu ni urasimu...
Acheni urasim hukoNadhani mtendaji hiyo anayochukua ni rushwa sasa tukukute unajenga bila kibari faini yake utakimbia
Labda urasimu kipindi cha nyuma lakini asaivi ukifuata njia sahihi utakipata kwa haraka zaidiAcheni urasim huko
Ova
Hao watendaji ndo usiseme mzee....waanauchu wa pesa kinoma.Rushwa mmezidi ndomana watu wnamalizana kwa mtendaji tu
Ova
Huu Ndiyo Ukweli Usiyo Na Shaka Pia Zikitakiwa Kuvunjwa Ni Nyingi Sana Tena Za MasikiniIla nyumba nyingi zinajengwa bila hivyo vibali
Tatizo ukikutwa ndio utajua raha na starehe vinatengana walishe tu wenzio matango pori tuwakute
Nadhani mtendaji hiyo anayochukua ni rushwa sasa tukukute unajenga bila kibari faini yake utakimbia
Wewe jàmaa ni njaaa Sana kumbe ni walewale Kama dalali tu kuzurura mitaani kutafuta Nani anaejenga Bila kibali alafu unakimbilia manisspa unakuja na wale afisa wa ujenzi mwenye njaa hadi kwenye kope.mwanaume wewe pambana kuijengea misingi familia yako acha kuangaika na watu wanaopambana kuwekea familia zao future.Tutafute sisi tukusaidie kukipata kwa haraka ili ujenge nyumba yako bila wasiwasi
maelezo ndio yamechambuliwa kwa urefu lakin kiuhalisia sio mrefu mana ramani unakuwa unazo na ndio maana sisi kama kampuni tupo kusaidia kwa wale ambao watakuwa busy na majukumu mengine
Malipo siyo makubwa,,,Me nlikipata kwa 30 elfu.Shida malipo ni makubwa mno. Kiwanja ununue mwenyewe kujenga ujenge mwenyewe kwa jasho lako halafu kupata ruhusa tuu ya kujenga hela kibaaooo
Katika sekta ya ardhi mara nyingi tunafuata sheria