Fahamu kuhusu vibali vya ujenzi, umuhimu wake na namna ya kuvipata

safiiii,je hii inaweza kuzuia watu kutapeliwa viwanja?? au mtu kuuza kiwanja kisicho chake/ watu wawili kuuziwa kiwanja kimoja??
 
Shida malipo ni makubwa mno. Kiwanja ununue mwenyewe kujenga ujenge mwenyewe kwa jasho lako halafu kupata ruhusa tuu ya kujenga hela kibaaooo
Inakera mnooo
Ni kichaka cha wapigaji tu
Nikikumbuka nilivyokwama kujenga uzio tu
Sina hamu
 
Walinitaka 400,000 nikaondoka bila kuaga wakanipigia simu na vitisho juu sikutetereka nikajenga bila kibali
Nmeshangaa hio elf 30 labda anafahamiana nao
Ilichukua hadi mwezi kukipata kisa vikao vyao vya ndani mara leo flani hayupo akija anakosekana mwingine ili mradi keroroooo
Kwani nafasi si zinakaimishwa jmn?.

Bei abt laki mbili plus
 
Nadhani mtendaji hiyo anayochukua ni rushwa sasa tukukute unajenga bila kibari faini yake utakimbia
Hivi kibali cha ujenzi mbali na kuogopa hizo faini zenu za kipuuzi kina faida gani katika ujenzi wa nyumba ya kawaida za kuishi ikiwa kiwanja kimepimwa. Mimi ninajenga nyumba buyuni ccm kuelekea chanika na sina hayo mavibali yenu ya uongo uongo na bureaucracies za kijinga.
 
Umewaita watakuja 🏃🏃
 
Nadhani hizo Sheria ipo kwa waliopo ndani ya na wale wanaojenga majengo makubwa au magorofa,lakini kwa walio nje ya mji ambaye amenunua eneo lilipopimwa na halmashauri na anajenga nyumba ya kawaida sidhani Kama ni tatizo
 
Ta
Nadhani hizo Sheria ipo kwa waliopo ndani ya na wale wanaojenga majengo makubwa au magorofa,lakini kwa walio nje ya mji ambaye amenunua eneo lilipopimwa na halmashauri na anajenga nyumba ya kawaida sidhani Kama ni tatizo
Ni tatizo kwa wote hata ukijenga mabanda wakipita ni shida
 
Good
 
Mlolongo ni mreefu mno!...Kusoma tu hayo maelezo yanachosha; Je kufuatilia itakuwaje?
Uaratibu wa hovyo haupo kumsaidia mwananchi Bali kumnyonya!

SITAKI KIBALI CHA HIVI MIMI; NITANUNUA KONTENA NILALE
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…