Fahamu kuhusu vibali vya ujenzi, umuhimu wake na namna ya kuvipata

Nadhani hizo Sheria ipo kwa waliopo ndani ya na wale wanaojenga majengo makubwa au magorofa,lakini kwa walio nje ya mji ambaye amenunua eneo lilipopimwa na halmashauri na anajenga nyumba ya kawaida sidhani Kama ni tatizo
Kibali cha ujenzi ni sheria ya Tanzania nzima popote pale kinahitajika
 
safiiii,je hii inaweza kuzuia watu kutapeliwa viwanja?? au mtu kuuza kiwanja kisicho chake/ watu wawili kuuziwa kiwanja kimoja??
Ndio maana tunasisitiza kununua viwanja vilivyopimwa na kuvipatia hati miliki kuwa na uhakika...Ushauri zaidi tupigie au fika ofisin kwetu MBEZI BEACH TANGI BOVU JENGO LA TEVI COMMERCIAL PARK
 
mleta mada mwizi tu
Then karibu ofisin Mbezi Beach Tangi Bovu jengo la Tevi commercial park (NBC HOUSE),Ghorofa ya tatu au ukifika chini waulize askari wanaolinda bank waambie nataka kwenda SUSTAINABLE CITIES COMPANY LIMITED.

Kwa ushauri zaidi kuhusu masuala ya ardhi kama upimaji,utafutaji wa hati miliki au kununua kiwanja au kama una eneo kubwa unaliuza tuone mana tunayanunua na tunayakata viwanja vilivyopimwa then tunauza.
 
Squatter areas nazo zinahusika na haya hasa kwenye majengo ya kawaida?
 
Niongezee tu hata kupaka rangi nyumba yako unahitaji kibali vinginevyo faini! Usifanye shughuri yoyote ya badiliko bila kibali.
 

Nimesoma post na comments zote lakini kuna hoja za msingi naona hazijibiwi.
Kuna wadau wameuliza, vipi walio vijijini ambapo watu wapo mashambani mwao na hayajapimwa?
Watanzania wengi wanaishi vijijini na wanajenga na kuishi, tena na umeme wamewekewa. Vipi mnasemaje kuhusu watu hawa sheria inasemaje?
 
Tutakupa elimu bure ili ukafuatilie mwenyew labda kukusaidia tutakupatia watu waliopo katika wilaya husika wakusaidie kwa haraka zaidi mana tunafahamiana kutokana na mwingiliano wa kazi zetu
Mkuu wewe kazi yako mama ni nini? Ebu weka wazi kama kuna kazi tukupe.
 
Mkuu wewe kazi yako mama ni nini? Ebu weka wazi kama kuna kazi tukupe.
Sisi tuna kampuni mkuu tunafanya shughuli zote zinazohusu ardhi kama urasimishaji,upimaji maeneo,uuzaji viwanja tulivopima wenyew na ununuaji maeneo makubwa tunayakata viwanja then tunaviuza,ukihitaj kutafutiwa hati miliki,ukihitaji kucholewa ramani za majengo karibu.


Ofisi zetu zipo Mbezi beach Tangi bovu jengo la TEVI COMMERCIAL PARK ghorofa ya tatu

au
Tupigie 0713132109,0752602988
 
Vijijini nyumba za ghorofa na zinazoeleweka kwa kupima kiwanja na hati na hizo ndizo hulipiwa kodi vinginevyo mababu zako walizaliwa nayo.
 

TUKUTANE MAHAKAMANI
 
kwa ufupi mkuu mana muda kidogo unabana;

kibali kinatakiwa kufwatwa nchi nzima ndio sheria inavotaka lakini Inatokana na wilaya husika una play vipi hili suala kwa wananchi wake ingawa wilaya nyingi ambazo ziko vijijin wameliacha kutokana na hari za kiuchumi za wananchi wao lakini wilaya za mijini lazima
 
Kwa maelekezo yako hakiwezi kosa kuwa na gharama ni kitu kinachohusisha taasisi na watu wenye taaluma mbalimbali
Kibali ukiwa na 150000 kwa wilaya kama ubungo unakipata haraka tu kikubwa uwe na michoro iliyochorwa na wataalamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…