Fahamu kuhusu vibali vya ujenzi, umuhimu wake na namna ya kuvipata

Fahamu kuhusu vibali vya ujenzi, umuhimu wake na namna ya kuvipata

Ahsante kwa "siledi" nzuri japo za hivi wachangiaji wanakuwa pungufu tofauti jukwaa la chit chat au MMU.
 
Kuukamirisha huo mchakato mpaka kuanza ujenzi, mtu unakuwa ushapigwa pesa ambayo huenda ikaringana na gharama za ujenzi wa nyumba mpya.

_ where ever you are remember me_
 
Ahsante sana kurzweil kwa ushauri huu uliotupa.
 
Ni sawa ila gharama ni kubwa aisee huo mchakato ni mrefu kweli.
 
Hapo hujasema ada za kibari muda wa kupata kutegemeana naanispaa na mkoa ilipo, kiwango cha hongo ntakayotoa ili mi nivipate kwa wakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli kwamba tunapenda short cut. Shida ni ugumu wa upatikanaji wa huduma. Huo mlolongo si mfupi, kuna miezi ya nenda rudi na karaha hapo. Si ajabu aliyeandaa utaratibu hajawaandaa wahudumu. Matokeo yake ni usumbufu.

Haya sasa jenga uje uvunjiwe mimi kama bwana afya huwa nawaambiaga watu wa kata yangu ila wanakuwa vichwa vigumu sehemu ambayo unaona haitakiwi kama hifadhi ya barabara, sehemu za wazi, mabondeni, mkondo wa umeme mkubwa, hifadhi za misitu maeneo ya shule ila bado hawasikii wavunjiwe tu.

Ukienda halmashauri utakuta plan na hiyo unailipia sasa watz tuache ujinga wa shoti kati na tufuate ushauri.
 
Mfano unataka fanya marekebisho kwenye frame kariakoo je napo utahitaji kibali?
Na taratibu zikoje?
Marekebisho madogo kama kuweka partition au ukarabati wa kawaida nayo yanaombewa kibali. Unaandika barua ya kufanya ukarabati. Unapeleka kwenye mamlaka husika ukiambatanisha na mchoro kama upo na hati ya umiliki. Baada ya hapo sehemu inakaguliwa na unalipia na kupewa kibali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom