Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni bora hata hivyo vibali wangekua wanatoa haraka. Kukipata utasotea hadi ujute kwanini unajenga.Aisee tutapaa kimaendeleo zaidi ya USA kila sekta vibali. Kuuza mahindi nje ya nchi nako ulipie KIBALI bado kutinduana nako watataka kibali
Nyumba imejengwa toka 2014, bado plasta nje, amesema hakuna kuendeleza chochote hadi kibali.Nenda ofisi ya ardhi kwenye mji wako utapata maelezo mengi kuhusiana na kibali cha ujenzi kumbuka kama ulishajenga hawawezi kubomoa rejea tamko la Lukuvi William Mh. waziri.
Nenda tu idara ya Ardhi utaelekezwa. Mie 2015 nilifanya utaratibu wa kuchora ramani ikapitisha nikapewa kibali cha ujenz ndani ya wiki moja
Nyumba ilijengwa toka 2014 na watu wanaishi,isipokuwa madirisha bado vioo,wamesema hakuna kuweka vioo hadi kibali, hata kupiga rangi, kumalizia plasta wala dari.Maelezo Ama Maelekezo Ya Waziri Mwenye Dhamana Hiyo Alisema Nyumba Zote Zilizojengwa Bila Kuwa Na Vibali Na Maeneo Ya Skwata Ambayo Hayajapimwa Ila Nyumba Zimejengwa
Hazitamolewa Ila Utaratibu Utafanywa Kuwapa Hati Na Kuyatambua Makazi Yao Kama Rasmi Kwenye Mfumo Wa Serikali.
Ila Sasa Wanaojenga Nyumba Baada Ya Tamko La Waziri Na Ufafanuzi Uliotolewa Ikulu Mbele Ya Rais Hao
Wanatakiwa Wawe Na Vibali Vyote Vya Ujenzi Na Eneo Unalojenga Lazima Liwe Limepimwa Na Watu Wa Mipango Miji
Yaani Nyumba Ilijengwa Haitakiwi Kuvunjwa Iwapo Haipo Kwenye Hifadhi Ya Barabara Ama Eneo La Wazi Kinachoendelea Hapo Iringa Ikiwapo Ni Kweli Basi Wanafanya Kinyume Cha Maagizo Ya Waziri Pia Ufafanuzi Uliotolewa Ikulu
Bro vyuma hivi nataka nijenge mdogo mdogo kanyumba ka rum 3 sasa temporary itakuwaje bro mana sina pesa ya pmoja au nijitose hivyohivo.Jenga temporary kwanza
Mkuu nashukuru sana umenipa mwanga Huyo jamaa alishakuja kachukua coordinates tayari bt before lukuvi kutoa tangazo ila km vibali vinatoka hyo itakuwa safi sana ngja cku nitimbe michoro hadi engineer nnavyoMkuu, chakufanya tafuta mtaalam wa mipango miji au surveyor afanye site reconnaissance akupe majibu kwamba eneo lako limepangwa matumizi gani kulingana na mchoro wa mipango miji(TP) yaan town planning drawings. Baada ya hapo atakushauri ujenge au usijenge.
Pia kwa Dar es salaam kuna utaratibu wa kupewa kibali cha ujenzi kwa maeneo yasiyopimwa. Cha kufanya andaa michoro yako ya nyumba i.e full architectural drawings, nenda nayo manispaa ya Kigamboni nenda moja kwa moja ofisi ya mipango miji utapata mwongozo.
Tutashukuru kama utatupa mrejeshoMkuu nashukuru sana umenipa mwanga Huyo jamaa alishakuja kachukua coordinates tayari bt before lukuvi kutoa tangazo ila km vibali vinatoka hyo itakuwa safi sana ngja cku nitimbe michoro hadi engineer nnavyo