Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,801
- 6,806
Si kweli kwamba tunapenda short cut. Shida ni ugumu wa upatikanaji wa huduma. Huo mlolongo si mfupi, kuna miezi ya nenda rudi na karaha hapo. Si ajabu aliyeandaa utaratibu hajawaandaa wahudumu. Matokeo yake ni usumbufu.yale mambo ya kubomoa bomoa yataisha ila sasa sisi watz tunapenda shoti kati
Si kweli kwamba tunapenda short cut. Shida ni ugumu wa upatikanaji wa huduma. Huo mlolongo si mfupi, kuna miezi ya nenda rudi na karaha hapo. Si ajabu aliyeandaa utaratibu hajawaandaa wahudumu. Matokeo yake ni usumbufu.
Ahsante kwa "siledi" nzuri japo za hivi wachangiaji wanakuwa pungufu tofauti jukwaa la chit chat au MMU.
Marekebisho madogo kama kuweka partition au ukarabati wa kawaida nayo yanaombewa kibali. Unaandika barua ya kufanya ukarabati. Unapeleka kwenye mamlaka husika ukiambatanisha na mchoro kama upo na hati ya umiliki. Baada ya hapo sehemu inakaguliwa na unalipia na kupewa kibali.Mfano unataka fanya marekebisho kwenye frame kariakoo je napo utahitaji kibali?
Na taratibu zikoje?