Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

Fahamu kwa kina ujenzi wa kituo cha mafuta kutokana na ukubwa wa eneo pamoja na gharama zake

Joined
Jun 24, 2024
Posts
34
Reaction score
50
Wana JF Habari za siku nyingi kidogo wakuu?
Sasa mliopo Zanzibar nimewafikia kama una changamoto ya kimazingra katika Petro station ⛽
Yako unataka kituo kivutie wateja wako Kwa madhingira kuwa mazuri zaid.
Ama unahitaji kujenga au kulekebisha kituo chako
Karibu tushauliane tutoe kitu kizuri CHENYE muonekano wa kisasa.

Kingine ninachowakumbusha MAFUNDI na MABOSS katika kujenga kituo Cha mafuta MUHIMU zaidi katika kupata vibari vya biashara ni MFUMO WA MAJI SAFI NA MAJI TAKA.
Hili Sasa ni la kuzingatia sana usije ukajenga kituo ukahisi umemalliza baadae katika kuomba vibari vya biashara serikal ikija kujiridhisha wanakuta mfumo hauko vizur .
Utaambiwa tengeneza kwanza mfumo wa MAJI safi na MAJI TAKA.
Kisha njoo Tena kuomba vibari.
Hapo kidogo unaweza pata hasara ya kuvunjavunja na kutenegeza kitu kinachoepukika.
Hili halitakiwi tunahitaji kwenye ujenzi wa hii sekta ya vitu vya mafuta tufanye kweli mpka hata EURA wakifka wakose Cha kuhoji na haya ndio Marengo yetu katka ujenzi wa Petro station.
Tunahitaji mapinduzuzi makubwa sana katika hili tufanye vizuri zaidi.
KINGINE mafundi jitahidini kusimama katika UBORA wa kazi kumekuwepo na tabia ya Maboss kusema Fanya hivi kwani mbona Sehem flan tulifanya hivi.
Simanishi boss astoe ushauri hapana anaweza toa ushauri mzuri na ukaufanyia kazi.
Ila tu uwe ndani ya neno Ubora katka kazi.
Mshauri boss kitu kizuri na kama hataki .
Mueleweshe mazara na faida zake katka kazi hiyo.
Usifanye kazi Kwa ajiri ya kuchukua pesa tu .
Tengeneza kazi nzuri yenye kupendeza. Ili kupitia kazi hiyo unaweza tengeneza pesa zaidi.
Asante sana
Mawasiliano
0719639433
 

Attachments

  • IMG_20240818_182932_253.jpg
    IMG_20240818_182932_253.jpg
    1 MB · Views: 13
  • IMG_20240917_074332_785.jpg
    IMG_20240917_074332_785.jpg
    688.7 KB · Views: 15
  • IMG_20240818_182932_253.jpg
    IMG_20240818_182932_253.jpg
    1 MB · Views: 18
  • IMG_20241016_154841_278.jpg
    IMG_20241016_154841_278.jpg
    1.3 MB · Views: 15
  • IMG_20241022_103905_346.jpg
    IMG_20241022_103905_346.jpg
    1.5 MB · Views: 17
  • IMG_20241022_103905_346.jpg
    IMG_20241022_103905_346.jpg
    1.5 MB · Views: 13
  • IMG_20240818_183023_185.jpg
    IMG_20240818_183023_185.jpg
    536.3 KB · Views: 17
  • IMG_20240917_074332_785.jpg
    IMG_20240917_074332_785.jpg
    688.7 KB · Views: 14
Mbona hatujafaham kwa kina bali juu juu tu na promo yako..


Wewe ungeanisha kila hatua na makadirio yake watu ndotoni tukiota tumepiga hela tuiwaze kujenga..


Na hata promo yako haijitoshelezi...ni fundi wa kampuni yenu hujaisema au ni fundi binafsi...yaani kweli kazi ta mamilion unaomba easy hivo
 
Mbona hatujafaham kwa kina bali juu juu tu na promo yako..


Wewe ungeanisha kila hatua na makadirio yake watu ndotoni tukiota tumepiga hela tuiwaze kujenga..


Na hata promo yako haijitoshelezi...ni fundi wa kampuni yenu hujaisema au ni fundi binafsi...yaani kweli kazi ta mamilion unaomba easy hivo
Mkuu hapo ukiwa tayari tutainisha kimoja baada ya kingine.
Kazi ya mamilion hufanywa na watu si jina la kampuni.
Kampuni ni watu mkuu .
Nakuombea Kwa Mwenyezi Mungu Ndoto Yako itimie uje tujenge kituo chako.
 
Back
Top Bottom