FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #101
Leo UK wametangaza kwamba maambukizi yamekaribia kudouble katika kipindi cha wiki moja iliyopita. Watakuelewa tu. R.I.P JPM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio mtu wa conspiracy theories, lakini kwanini hawa watu walikuwa wamengangania sana lock down, ilihali kwa mtu yeyote mwenye uwezo wa kufikiria ataona kabisa ni kitu useless?Tetesi: nchi zilizoweka lockdown na kuchoma chanjo ndio zinaongoza kwa maambukizi, nini kinaendelea?
Hii ripoti ya tume aliyopewa mama ilipendekeza lockdown, ndio ujiulize ile tume ilikuwa na watu wenye akili za namna gani vichwani mwao?Mimi sio mtu wa conspiracy theories, lakini kwanini hawa watu walikuwa wamengangania sana lock down, ilihali kwa mtu yeyote mwenye uwezo wa kufikiria ataona kabisa ni kitu useless?
Kuna kitu kinaendelea na ukweli utajulikana tu.
Ohoooo Raisi awe makini.Hii ripoti ya tume aliyopewa mama ilipendekeza lockdown, ndio ujiulize ile tume ilikuwa na watu wenye akili za namna gani vichwani mwao?
Anaoza ChatoVipi mzee baba ameshatoka Chato?
Sasa mbona yeye mwenyewe amekufa na Covid.Watakuelewa tu JPM, kwamba alikuwa una ona mbali 🙏🏼
Ulimpima lini na wapi hiyo Covid?, na hata kama alikufa kwa Covid, so what? Rudi kwenye mada husika ya uzi, kwamba lockdown ilikuwa ni uselessSasa mbona yeye mwenyewe amekufa na Covid.
Lockdown ilikua useless!!!???Ulimpima lini na wapi hiyo Covid?, na hata kama alikufa kwa Covid, so what? Rudi kwenye mada husika ya uzi, kwamba lockdown ilikuwa ni useless
Sasa hivi kuna lockdown? Maafisa wangapi wa juu wamefariki? Nchi zilizoweka lockdown, maambukizi yalipungua au yaliongezeka?Lockdown ilikua useless!!!???
Kutoku-enforce Lockdown kumepelekea maambukizi kusambaa kwa kasi mpaka kwa maafisa wa juu wa idara za serikali (specifically State House officers) ikapelekea mpaka Raisi (the number one citizen) akaambukizwa...
Akalazwa... Akafa.
Laiti kama angeacha ukichwa ngumu na ku-enforce Lockdown pengine maambukizi yasingewapurua maafisa wake na yeye mwenyewe.
Acha kushadadia ujinga.
Italy ni moja ya nchi zilizo athiriwa sana na Covid. Watu walipukutika.Sasa hivi kuna lockdown? Maafisa wangapi wa juu wamefariki? Nchi zilizoweka lockdown, maambukizi yalipungua au yaliongezeka?
Italy sasa hivi kuna lockdown? Maambukizi yanaongezeka au yamepungua? Au Corona imeisha?Italy ni moja ya nchi zilizo athiriwa sana na Covid. Watu walipukutika.
Way Forward???
Wakapiga lockdown ya 'kibabe'.
Maambukizi yakapungua sana to almost zero. Siku hizi unasikia tena Italy wanakufa kwa Covid kama mwaka jana?
Corona kwa Italy ni kama imeisha kwa sababu ya lockdown ya kibabe waliyopiga mwaka jana.Italy sasa hivi kuna lockdown? Maambukizi yanaongezeka au yamepungua? Au Corona imeisha?
Kwa sasa Italy kuna lockdown au imeondolewa?Corona kwa Italy ni kama imeisha kwa sababu ya lockdown ya kibabe waliyopiga mwaka jana.
Hatimaye umekubaliana namie.