Fahamu kwa undani nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ , mchezo wa kujaza maji ndoo ilitoboka

Leo UK wametangaza kwamba maambukizi yamekaribia kudouble katika kipindi cha wiki moja iliyopita. Watakuelewa tu. R.I.P JPM.
 
Netherlands maambukizi yapanda mara 14 mara tu baada ya kuondoa lockdown, wanarudi tena kwenye lockdown 😅😅😂😂😂, wataelewa tu, hata kwa bakora, na watajua hawajui. R.I.P JPM
 
Tetesi: nchi zilizoweka lockdown na kuchoma chanjo ndio zinaongoza kwa maambukizi, nini kinaendelea?
 
Mimi sio mtu wa conspiracy theories, lakini kwanini hawa watu walikuwa wamengangania sana lock down, ilihali kwa mtu yeyote mwenye uwezo wa kufikiria ataona kabisa ni kitu useless?
Kuna kitu kinaendelea na ukweli utajulikana tu.
 
Hii ripoti ya tume aliyopewa mama ilipendekeza lockdown, ndio ujiulize ile tume ilikuwa na watu wenye akili za namna gani vichwani mwao?
 
Australia wamerudi tena Lock down, hahahah😀😀😀, IYoooo Iyooooooooo YoYo....x2 (in platnumz voice)
 
New Zealand warudisha lockdown level4, ndio lockdown kali kabisa kuwahi kushuhudiwa. R.I.P JPM
 
Watakuelewa tu JPM, kwamba alikuwa una ona mbali 🙏🏼
 
Sasa mbona yeye mwenyewe amekufa na Covid.
Ulimpima lini na wapi hiyo Covid?, na hata kama alikufa kwa Covid, so what? Rudi kwenye mada husika ya uzi, kwamba lockdown ilikuwa ni useless
 
Lockdown ilikua useless!!!???

Kutoku-enforce Lockdown kumepelekea maambukizi kusambaa kwa kasi mpaka kwa maafisa wa juu wa idara za serikali (specifically State House officers) ikapelekea mpaka Raisi (the number one citizen) akaambukizwa...

Akalazwa... Akafa.

Laiti kama angeacha ukichwa ngumu na ku-enforce Lockdown pengine maambukizi yasingewapurua maafisa wake na yeye mwenyewe.

Acha kushadadia ujinga.
 
Sasa hivi kuna lockdown? Maafisa wangapi wa juu wamefariki? Nchi zilizoweka lockdown, maambukizi yalipungua au yaliongezeka?
 
Italy ni moja ya nchi zilizo athiriwa sana na Covid. Watu walipukutika.

Way Forward???

Wakapiga lockdown ya 'kibabe'.

Maambukizi yakapungua sana to almost zero. Siku hizi unasikia tena Italy wanakufa kwa Covid kama mwaka jana?
 
Italy sasa hivi kuna lockdown? Maambukizi yanaongezeka au yamepungua? Au Corona imeisha?
 
Corona kwa Italy ni kama imeisha kwa sababu ya lockdown ya kibabe waliyopiga mwaka jana.
Hatimaye umekubaliana namie.
 
Back
Top Bottom