Fahamu kwanini gari zinazotumia Diesel zinadumu kwa muda mrefu zaidi tofauti na za Petrol

Fahamu kwanini gari zinazotumia Diesel zinadumu kwa muda mrefu zaidi tofauti na za Petrol

Wewe Mzee gari gani unazozizungumzia hazidumu nilichogundua tunachukua gari ambazo zinakua zina matatizo tayari harafu tunafanya ndio majibu ya magari yote wakati sio kweli kabisaa..
Kwa magari haya midogo kama Mazda CX-5 hizi gari aisee ni mbovu Sana.
Gari za diesel kama Hilux na zingine hizi nakubali kuwa ni imara Ila Kwa sedan na saloon za diesel hapanaa
 
Kwa magari haya midogo kama Mazda CX-5 hizi gari aisee ni mbovu Sana.
Gari za diesel kama Hilux na zingine hizi nakubali kuwa ni imara Ila Kwa sedan na saloon za diesel hapanaa
Mkuu gari za diesel zipo nyingi sana pana Jaguars Face wana diesel tunasagala nazo tu hata hizo Mazda za Japan zinakua zimetumika sana ndio maana wanazitoa zikitukuta sisi lazima zisumbue mbona hizo hizo Mazda za SA hazina usumbufu utatumia mpaka utachoka mwenyewe pana range za 2012 wanatumia sana Mbeya kwa ajili ya Harusi za diesel za UK zinawasumbua sana ila ukiipata ya kaburu unasahau nadhani gari ambazo zimetengenezwa kwa mazingira ya Afrika hazina usumbufu wowote pana Scania za kaburu ukiipata inakutoa mrithi ila ukiipata ya UK ambayo imetumika sana itasumbua kama haikutumika sana utakaa nayo vizuri tu..
Nilichoona kwa sababu nipo kwenye magari Tanzania wananunua magari yanayokuja yaliyopo sokoni hapo kama uniform na kutishana parts atapata wapi kwa hiyo kundi kubwa wananunua magari kwa kuigana ambayo wauzaji wanauza lolote tu ili mradi wapate hela na hatutaki kubadilika kwa sababu mtu anataka gari kama ya jirani yake..
 
Back
Top Bottom