Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Hello!
Ikiwa uko selo ya polisi Tanzania, au ndugu yako yuko lupango ukimfuata rafiki yako au ndugu yako polisi akusaidie kumtoa jamaa yako lazima atakuzungusha na mwisho wa siku atakurudisha kwa mwenye jalada (a.k.a mwenye dili lake)
Ni kama wameapa hakuna kuingiliana madili. Ukiwa na tatizo polisi hulichukua kama dili sasa wewe ukimfuata afande mwenzako amwachie mtuhumiwa kwa dhamana ya masharti rahisi ni sawa na umemwingilia dili lake na atajua kuwa wewe umepiga pesa ambayo alipaswa aipige yeye.
Aidha aagizwe na afisa wa ngazi ya juu yake, pawepo na gape kubwa la kicheo ndipo atamwachia.
Aidha huyo ndugu yako awe wa baba mmoja ambapo majina yafanane na yako ndipo ukimlilia afande wa ambaye ni swahiba wako ataamini kuwa hakuna dili hapo anaweza kukusaidia.
Tuendelee kuhesabiwa kwa maendeleo ya nchi.