Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

Ndoto za mchana hizo kwa sasa bei elekezi ni tsh1400 from 1200 last year
Uliza mtu yeyote ambaye unamuamini ambae ndani ya mwezi huu au uliopita alikuwa masasi kuhusu bei ya mbazi wanavyouza mwaka huu, halafu bila ubishi au ushabiki nijibu.
 
sawa..ila matarajio ya wengi yameshindwa kufikiwa hasa kwa mkulima wa chini. Ukilinganisha na bei iliyofikiwa msimu uliopita.


Mkulima wa chini wa ekari moja.!? Let's say ana mikorosho 70 na kila mmoja ukampa kilo 50 ,so that 50×70=3500 ,akiuza kwa 1450×3500=5075000mil,kwa ekari moja ya matunzo sidhani matunzo yanafika 1mill!

Ndio maana naona hakuna hasara kwa Kilimo cha korosho otherwise mkulima agawe bure au awe anakula mwenyewe hizo korosho still bado atapata afya kwa kula korosho!

Hitimisho: Wekeza kwenye korosho Hakuna HASARA!
 
Kila la heri. Mwaka jana mlipiga sana pesa hadi mkawa mnawanywesha mbuzi soda. Haya bhana, sisi nyanya zilidoda kwa kukosa soko, ikabidi tuwalishe ng'ombe, lakini si kwa kukufuru kama mlivyofanya. Kilimo cha biashara hapa bongo ni very dynamic
 
sawa..ila matarajio ya wengi yameshindwa kufikiwa hasa kwa mkulima wa chini...ukilinganisha na bei iliyofikiwa msimu uliopita.

Hivi unajuwa msimu uliopita bei elekezi ilikuwa how much. It was 1200tsh. Kumb hiyo ni bei elekezi si mnada, Bei ya mnada ilipanda hdi tsh3500 kwa msimu bei elekezi ni tsh 1400 bado mnada hapo sasa huoni bei itakuwa mzuri tena zaidi ya msimu uliopita.
 
Hivi unajuwa msimu uliopita bei elekezi ilikuwa how much.It like 1200tsh.Kumb hiyo ni bei elekezi si mnada,Bei ya mnada ilipanda hdi tsh3500.kwa msimu bei elekezi ni tsh 1400 bado mnada hapo sasa huoni bei itakuwa mzuri tena zaidi ya msimu uliopita

Mkuu wengi hawajaelewa fursa iliyopo kwenye KOROSHO ,Cha msingi we kaushia tu usiwaamshe waliolala!
Najuta lile Shamba la miti kwanini sikufanya iwe korosho!
 
Mkuu wengi hawajaelewa fursa iliyopo kwenye KOROSHO, cha msingi we kaushia tu usiwaamshe waliolala!
Najuta lile Shamba la miti kwanini sikufanya iwe korosho!
Hahaahaaa ni kweli Mkuu wacha waendelee kulala
 
Habari ndugu zangu,

Nahitaji mawasiliano ya kituo cha utafiti cha NALIENDELE kilichopo kusini,ili nipate kujua taratibu za kupata miche ya mikorosho. Pia kama kuna mtu anayejua kuhusu upatikanaji wa mivhe ya mikorosho, upandaji wake naomba anisaidie.
 
Mbegu huwa inagawanywa bure na bodi ya korosho baada ya kukuzwa na watu mbalimbali walioteuliwa. Kwa kawaida itaanza kugawanywa kati ya oktoba na desemba.

Muhimu ni kuandaa shamba na kutoa taarifa ya idadi ya mikorosho utakayohitaji toka bodi ya korosho.
 
Back
Top Bottom