Shaibu Hiwalisi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 603
- 582
Uliza mtu yeyote ambaye unamuamini ambae ndani ya mwezi huu au uliopita alikuwa masasi kuhusu bei ya mbazi wanavyouza mwaka huu, halafu bila ubishi au ushabiki nijibu.Ndoto za mchana hizo kwa sasa bei elekezi ni tsh1400 from 1200 last year
Kama ekari moja inachukua mikorosho 70, ekari mbili itakuwa 140 kwa space ya 12m×12m!Ekari 2 mikorosho 100?? Seriously?
Mbaazi sio korosho Mkuu!Uliza mtu yeyote ambaye unamuamini ambae ndani ya mwezi huu au uliopita alikuwa masasi kuhusu bei ya mbazi wanavyouza mwaka huu, halafu bila ubishi au ushabiki nijibu.
Hakuna Hasara, faida ipo palepale japo imepungua!Tayari bei elekezi imetangazwa na bodi..ni Tsh 1500/= kweli tutaisoma
Yaani sijuwi anatumia vigezo gani kuhusianisha koresho na mbaazi wakati kila kimoja kina market yake na matumizi yake.Mbaazi sio korosho Mkuu.!
Sawa, ila matarajio ya wengi yameshindwa kufikiwa hasa kwa mkulima wa chini, ukilinganisha na bei iliyofikiwa msimu uliopita.Hakuna Hasara, faida ipo palepale japo imepungua!
sawa..ila matarajio ya wengi yameshindwa kufikiwa hasa kwa mkulima wa chini. Ukilinganisha na bei iliyofikiwa msimu uliopita.
Grade A,tsh.1450/=
- - - - - B, kg1 tsh.1160/=
Hiyo ndio bei ya Korosho.
sawa..ila matarajio ya wengi yameshindwa kufikiwa hasa kwa mkulima wa chini...ukilinganisha na bei iliyofikiwa msimu uliopita.
Hivi unajuwa msimu uliopita bei elekezi ilikuwa how much.It like 1200tsh.Kumb hiyo ni bei elekezi si mnada,Bei ya mnada ilipanda hdi tsh3500.kwa msimu bei elekezi ni tsh 1400 bado mnada hapo sasa huoni bei itakuwa mzuri tena zaidi ya msimu uliopita
Hahaahaaa ni kweli Mkuu wacha waendelee kulalaMkuu wengi hawajaelewa fursa iliyopo kwenye KOROSHO, cha msingi we kaushia tu usiwaamshe waliolala!
Najuta lile Shamba la miti kwanini sikufanya iwe korosho!
Namba za simu naambiwa sio sahihitel: 0732934035, fax 0732934103, sanduku la barua 509 mtwara, e-mail address utafiti@iwayafrica.com
Nikitulia nitakutumia namba ya mtu anayeweza kukusaidia yuko naliendele.Namba za simu naambiwa sio sahihi
Asante kaka nitafurahi sanaNikitulia nitakutumia namba ya mtu anayeweza kukusaidia yuko naliendele.